Ng'wanambula
Senior Member
- Oct 2, 2011
- 197
- 53
Nataka kujiunga na Chadema ili kukipanua chama hiki.Nimeisoma katiba ya Chadema, CUF na NCCR, lakini nimeona Chadema ni bora zaidi.Nimejaribu kuwasiliana na watu kama Zitto Kabwe bila mafanikio.
Baada ya hapo natarajia kugombea Ubunge 2015 pale Bariadi maana kwa muda mrefu chama kimekuwa hakina wagombea makini pale.Elimu yangu ni ya shahada ya uzamili (Masters)
Baada ya hapo natarajia kugombea Ubunge 2015 pale Bariadi maana kwa muda mrefu chama kimekuwa hakina wagombea makini pale.Elimu yangu ni ya shahada ya uzamili (Masters)