Elementi
Member
- Apr 9, 2019
- 60
- 156
Kuna uwekezaji nimetamani kuufanya,, najua nikiufanya naweza kuambulia chochote kinywani
Natarajia kuwekeza kama 1.7 MIL.. Na nikifanikiwa kuna uwezekano nikapata pesa nyingi hapo baadae yaani baada ya miezi 2\3
Marafiki zangu wengi wananishauri nisilifanye jambo ninalo lifikiria bali wananielekeza njia nyingine ambayo mimi naiona ni gumu Sana na naiona ni hatari kwenye uchumi na maisha yangu
Jambo ninalotaka kulifanya ni aina ya biashara ambayo hata wao wanaifanya na nawashuudia wana maisha mazuri kuliko mimi
Lakini wananiambia nisifanye kama wanavyofanya wao kwani na wao wanatafuta njia ya kujiboreshea biashara hiyo
Jamani Naona kama wananipotezea mda tuu kunipa ushauri wao,, ingawa ni 90% wananikataza
Swali ni kwamba mbona wao bado wanafanya na wana maisha mazuri kuliko mimi, ,,kwanini wananielekeza njia ambayo naiona ni hatari kwenye uchumi Wangu..
nataka niwapotezee hawa watu jamani,, nisimame na msimamo Wangu mnanishauri nini?