Nataka kujifunza kutumia hii kitu, nianze na wapi waungwana?

kigogo1ivi

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
534
323
Naona viongozi wetu mjengoni wanaomba huu mmea uharalishwe watu wawe wana piga kama fegi yani hakuna kukamatwa tena si ndio waungwana?

Sasa mimi nataka nianze kuijaribu japo sijajua ya wapi ni nzuri kuanzia maana nasikia wengine wanasema kitu cha Arusha ni noma wengine wanasema cha Mbea si mchezo.
Naimani humu kuna kaka zangu na dada zangu wanapiga hii kitu sasa basi naomba mnishauri mdogo wenu nianze na ipi ili nisije jikuta Italy au Iran maana nasikia wanasemaga ukipiga unaweza jikuta kwa Tramp au unakwepa mashimo kama gari pia nataka ule lile ombi lawaheshimiwa likipokelewa mjengoni na kupitiswa na mimi nisiwe nyuma angalau niwe nishajua

Sent using Jamii Forums mobile app Nawa mikono
 
KULA MMEA MKUU TUNAHAMASISHWA SANA KUTUMIA VITU VYA KIJANI ILA SIO CCM NA YANGA
 
Saiz nahitaji kuacha kabisa Mimi nimepoteza nuru usoni mwangu
 
Back
Top Bottom