Nataka kujifunza kupigana baada ya kupeteza simu yangu

au kama vipi awe anatembea na kipiga shoti "electric taser gun" kama changu, nishawahi kuwapiga nacho mateja kama wawili kwenye korodani mbona mpaka leo wanatoa heshima maana hata hawakujua ni nini kimewasibu...

nalo neno ila bei mkubwaaa kwani ni sh ng'api?
 
Hivi mlivyovitaja vinapatikana kweli huko kwetu,na sheria ya jeshi la polisi inasemaje juu ya umilikaji wa vitu hivi..?? H apa naomba msaada zaidi kwa Ruttashobolwa

Sidhani kama hapa nyumbani kuna hivyo "kiboko ya mateja", ila huko mbele wanawake hutumia sana kuepuka assults za hapa na pale...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom