mi_mdau
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,104
- 1,472
Habari ndugu zangu. Nina hamu sana ya kufahamu lugha ya majirani zangu wasambaa. Ni kipaumbele kwangu kwa kweli likija suala la kujua lugha mbalimbali tofauti. Kuna mtu anaweza kunipa mbinu inayoweza kunifanya nijifunze lugha hii kwa urahisi, mfano vitabu...