Daah mkuu pole sana, mlo mmoja kwa Siku na upoComfortable kabisa ama?Sili kisa natengeneza body, kwanza nina uzito mdogo sana BMI yangu nadhani inapungua moja kuwa wastani hivo mara nyingi huwa nachezea kuwa underweight. Ni kwamba sina uwezo wa kula milo mitatu au miwili kwa siku. Ilinishinda hata nikilazimisha
Utra sound, matibabu nilitumia dawa fulani ya maji inaitwa cital. Nakushauriwa nile sana matufaaulijuaje kuwa unak kidney stones?
ulipata matibabu yoyote?
Mazoea tu ya shuleni wala sio ugonjwa. Tangu niko form four huwa sili chakula kingi, kuna mazoea flani mtu ukiyatengeneza inakuwa tabia na unashindwa kuachana nayo.Daah mkuu pole sana, mlo mmoja kwa Siku na upoComfortable kabisa ama?
Uzito ukusaidie nini?Habari za jion wakuu nataka kuongeza uzito kidogo na mwili maana ni mwembamba sana tena upande wa mikono nina kilo 65 msaada wenu supploment ipi nzuri kwa kuongeza body maana kama msosi napiga sana lakini wapi
Msaada wenu hapo wakuu
Okay, sema pendelea kula kidogo ila iwe mara nyingi kwa Siku.Mazoea tu ya shuleni wala sio ugonjwa. Tangu niko form four huwa sili chakula kingi, kuna mazoea flani mtu ukiyatengeneza inakuwa tabia na unashindwa kuachana nayo.
Brother wangu alikuwa hivi, akiwa anasoma akiletewa chakula kama saa mbili anaweka pembeni kisha anasahau kama kuna chakula analala na kesho anaendelea na shughuli zake. Baadae alianza mazoezi sahivi anakula huyo balaa, mimi mazoezi mzembe.
Bei gani hii mkuu na inapatikana wap?Lakini kwa ushauri tumia hii... Ni nzuri hata kwa bei piaView attachment 1786242
sina roho mbaya mzee baba nataka kujaza body tu yaani napenda kubeba vyuma na najua kubeba vyumaBhasi punguza roho mbaya.
Haka kk hata mimi ningezid hiyo maana kila day ni ugali nyama wali nyama dagaa asubuh supu chapat sometime mihogo ko sijajua kama mwili ndo mgumu kujaa au huu urefu wa futi 6 kasoroMbona easy ssna
Nilikuwa na 65 hivi saivi ninagonga 82 hivi
Nakunywa Sana supu na chapati yaani mfululizo
Ugali dagaa,wali nyama na samaki na mbogamboga .
Mazoezi yangu push ups na kukimbia .
Nimenenepa Sana Hadi najishtukia
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Duh😀😀🙌Una minyooo wewe..ata iyo poda itaenda kuwapa six pack minyoo tu
Hupigi sana msosi mkuu, huo ndio ukweli. Kwa maneno yako kwenye comment nimeona umesema unakula mara moja kwa siku. Sasa hiyo haitoshi kukufanya ujaze mwili. Pia, kutumia tu poda bila kunyanyua chuma ni kazi bure, utakuwa mnene kitambi n.k.Habari za jion wakuu nataka kuongeza uzito kidogo na mwili maana ni mwembamba sana tena upande wa mikono nina kilo 65 msaada wenu supploment ipi nzuri kwa kuongeza body maana kama msosi napiga sana lakini wapi
Msaada wenu hapo wakuu
Hamna mzee hiyo post ya mtu mwingine kwa siku nakura mara matatu either mara nneHupigi sana msosi mkuu, huo ndio ukweli. Kwa maneno yako kwenye comment nimeona umesema unakula mara moja kwa siku. Sasa hiyo haitoshi kukufanya ujaze mwili. Pia, kutumia tu poda bila kunyanyua chuma ni kazi bure, utakuwa mnene kitambi n.k.
Ok Nimekupata mkuu. Mimi pia ni mwembamba mikono ilikua skinny mbaya na sikua kabisa na paja, kama Dogo Janja angekua mrefu basi ndo mimi. Mwaka 2019 nikaanza kwenda gym, sahivi nimejaa jaa tofauti sana na zamani, paja lipo kifua, chest na mikono.Hamna mzee hiyo post ya mtu mwingine kwa siku nakura mara matatu either mara nne
Ingia mtandaoni bei yake inastahimilikaBei gani hii mkuu na inapatikana wap?
Habari za jion wakuu nataka kuongeza uzito kidogo na mwili maana ni mwembamba sana tena upande wa mikono nina kilo 65 msaada wenu supploment ipi nzuri kwa kuongeza body maana kama msosi napiga sana lakini wapi.
Msaada wenu hapo wakuu.