Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,623
Bwana awe nanyi wakuu wa humu hakika yesu ni mwema sana na tena aliyashinda mauti
Ndugu zangu mimi ni mtanzania mwenzenu niko huku jiji la mwanza usukuman nataka nije dar lakin tatizo sina kitambulisho kile cha makonda, maana niliwahi kumusikia makonda akidai kuingia dar ukiwa unatokea mikoan lazima uwe na kitambulisho lakin mimi sina kitambulisho
Kwa anaye jua njia za mkato ambazo sitakamatwa kwa sababu sina kitambulisho aniambie nipite chemba gan ili nisirudishwe mkoan huku nakotoka
Naomba msaada wenu wadau mubalikiwe sana katika bwana