Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,628
Patazuka mtifuano hapa.. Pashindwe kukalikaWekeni wazi jina la hospital hiyo.
Mhanga ni mimi mwenyewe walinifanyia uzembe na nkashuhudia kwa wengine
Patazuka mtifuano hapa.. Pashindwe kukalikaWekeni wazi jina la hospital hiyo.
Afrika tunaishi kwa neema tu.
Poleni sana, ila ni vyema tukawekana wazi hospital hiyo tuweze kuikimbia.Patazuka mtifuano hapa.. Pashindwe kukalika
Mhanga ni mimi mwenyewe walinifanyia uzembe na nkashuhudia kwa wengine
Jaribu uone ujiandae kusema mtoto alikuwa anaumwa nnNahisi uzembe ndiyo uliosanabisha kifo, nianzie wapi wadau?
Ilikua hivi...
Ni mtoto mdogo wa miezi miwili, tulimfikisha hospitali kubwa tu na yenye jina akiwa anasumbuliwa na tatizo la tumbo. Tulimfikisha hapo baada ya kupata rufaa kutoka hospitali ingine. Tulifanya vipimo vyote kama tulivyoambiwa tufanye , bt maamuz yanini kifanyike kutokana na majibu ya hvyo vipimo yalichelewa hali ikazidi kuwa mbaya mpaka mtoto akafariki na alifariki baada ya siku tano toka amefikishwa hospitali.
Umenena ndugu yangu walahiAfrika tunaishi kwa neema tu.
Vitisho hvi ndivyo vinafanya watu waendelee kuumia na vinaendelea kuwapa kiburi watoa huduma coz wanajua ata akifa kwa malpractice zao hakuna atakaye washtakiJaribu uone ujiandae kusema mtoto alikuwa anaumwa nn
Ujiandae kulipa professional defirmation.
Safari njema
Nakushauri UACHANE KABISA NA HILO WAZO WALAHI
pole sana kwa kufiwa lakini nakuona utamaliza pesa zako zote kwa mawakili ambao baadae watanunuliwa na mawakili wa hiyo hospitali, ndugu yangu nakushauri uachane kabisa na mahakama walahi
pole sana sana kwa pigo la uchungu mwingi kuliko yote duniani walahi
Maana mtoto ndio amzike mzazi na sio kinyume chake walahi!
Kwan atalipwa mtoto.? Namshauri tu ajue kulenga na kulegwa kupoVitisho hvi ndivyo vinafanya watu waendelee kuumia na vinaendelea kuwapa kiburi watoa huduma coz wanajua ata akifa kwa malpractice zao hakuna atakaye washtaki
Nakushauri UACHANE KABISA NA HILO WAZO WALAHI
pole sana kwa kufiwa lakini nakuona utamaliza pesa zako zote kwa mawakili ambao baadae watanunuliwa na mawakili wa hiyo hospitali, ndugu yangu nakushauri uachane kabisa na mahakama walahi
pole sana sana kwa pigo la uchungu mwingi kuliko yote duniani walahi
Maana mtoto ndio amzike mzazi na sio kinyume chake walahi!
Siku tano walikua wanazunguka zunguka tu.. Mara waje wamzunguke mgonjwa wanadiscus wanasepa.. Kulikua hakuna walichokuwa wanafanya zaidi ya kumuwekea dripu na antibiotics..mpaka siku anafariki walikua wanabishana kipi kifanyikesiku tano hamjapata majibu mumebung'aa tu labda mazuzu! mie ujinga huo sina! nlishawah kumtoa mtoto wa rafki yangu Lugalo hospital kwa kuchelewa kupata huduma kwa siku mbili wakati wa JK!
nikampeleka mahali kungine akapata vipimo na matibabu sku hiyo hiyo! angekufa pale khaaa
Siku Tanooo. Poleni sana jamani ikla nanyi ni wavumilivu jamani ooh no poleni mno? Nini kiklichelewesha kwa karne ya leo? Na hiyo nadhani ilikuwa emergency. Oh noNahisi uzembe ndiyo uliosanabisha kifo, nianzie wapi wadau?
Ilikua hivi...
Ni mtoto mdogo wa miezi miwili, tulimfikisha hospitali kubwa tu na yenye jina akiwa anasumbuliwa na tatizo la tumbo. Tulimfikisha hapo baada ya kupata rufaa kutoka hospitali ingine. Tulifanya vipimo vyote kama tulivyoambiwa tufanye , bt maamuz yanini kifanyike kutokana na majibu ya hvyo vipimo yalichelewa hali ikazidi kuwa mbaya mpaka mtoto akafariki na alifariki baada ya siku tano toka amefikishwa hospitali.
Medical malpractice...Jaribu uone ujiandae kusema mtoto alikuwa anaumwa nn
Ujiandae kulipa professional defirmation.
Safari njema
Jaribu uone ujiandae kusema mtoto alikuwa anaumwa nn
Ujiandae kulipa professional defirmation.
Safari njema
Ilikua ni emmergence.. Tusingeweza mtoa mtoto hospitali tulijaeribu kuwapigia simu baadhi ya madaktari wengine waliitikia wito wengine walikuwa busy.. Shida ingine madaktari walikuwa wanakuja bt cha kushangaza wanasema tumsubiri daktari mwingine ndo aje atoe uamjzi.. Sijui walikuwa wanafunzi wale.Siku Tanooo. Poleni sana jamani ikla nanyi ni wavumilivu jamani ooh no poleni mno? Nini kiklichelewesha kwa karne ya leo? Na hiyo nadhani ilikuwa emergency. Oh no
Mm sitaki kulipwa nataka wajue umuhimu wa kutoa huduma zinazostahili na kuzingatia professionalism zao.. Leo imetokea kwangu kesho itatokea kwako ndungu.. So vitendo kama hivi havipaswi kuendelea kukumbatiwa.Kwan atalipwa mtoto.? Namshauri tu ajue kulenga na kulegwa kupo