Naomba ushauri: Nataka kuifanya gari yangu ya IST kuwa ya biashara ya Uber

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Jan 27, 2013
449
141
Nataka kuifanya gari yangu IST kuwa ya biashara ya UBER ilikuwa ni 'Private' lakini sasa nimeshaibadili, kila kitu kuwa 'Commercial'

So kitu ambacho sijui ni namna ya kujiunga na hii huduma ya Uber.

Msaada wenu tafadhari wa maelekezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom