Nataka kuibiwa ama?

msani

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
1,801
1,191
KUNA KIPINDI NILIKUWA NAPOKEA MESEJI ZA WATU AMBAZO ZINANIHITAJI ETI TUWE MARAFIKI LAKINI MESEJI ZOTE AU NYINGI KATI YA HIZO ZILIKUWA ZINAFANANA,NA NILIJIUNGA NA JF NIMEPOKEA MESEJI KAMA HIZO NA ZIKINIONESHA NJIA NYINGINE YA MAWASILIANO TOFAUTI NA HII TUKUFU YA JF.
MFANO WA MESEJI HIZO NI HII HAPA:

"Hello Dear ,
My name is mercy , I got your contact details and I'm interested in knowing you & being friendly with you I would appreciate if we get acquainted as soon as possible, you can reach me through my private e-mail stated below so that we can get to know each other better.

My private e-mail: (mercyyak33@yahoo.com)


I quite believe that we can start from here since it takes one to know someone. I want you to understand that race or distance does not matter but loving and caring matters a lot in life. I look forward to hearing more from you soonest.

Yours truly,
mercy .
Please contact me directly to my mail so that i will send you my photo ok thanks.
(mercyyak33@yahoo.com)

HAYA WANA JF HEBU NIELEZENI KIDOGO
 
Woga wako 2 we wasiliana naye uone.
kipindi cha nyuma nilipata msg kama hiyo ila baadaye wakaanza kuniuliza hadi benki ninayotumia hata akaunti namba,nikawapa akaunti namba feki ambayo nilikuwa natumia kipindi fulani cha nyuma ila ikwa imefungwa kwa idhaa yangu,halafu wakanijibu eti hiyo akaunt haitumiki.
sasa naogopa na huyu anaweza kuwa walewale
 
kipindi cha nyuma nilipata msg kama hiyo ila baadaye wakaanza kuniuliza hadi benki ninayotumia hata akaunti namba,nikawapa akaunti namba feki ambayo nilikuwa natumia kipindi fulani cha nyuma ila ikwa imefungwa kwa idhaa yangu,halafu wakanijibu eti hiyo akaunt haitumiki.
sasa naogopa na huyu anaweza kuwa walewale

Uko nyuma sana ndugu yangu hadi hapo hujui huo ni wiziwizi wa wazi kabsaaaaaaaa
 
wezi hao mkuu usijaribu kabsaa wengi wao wapo senegal,nigeria,ghana na south africa
 
kipindi cha nyuma nilipata msg kama hiyo ila baadaye wakaanza kuniuliza hadi benki ninayotumia hata akaunti namba,nikawapa akaunti namba feki ambayo nilikuwa natumia kipindi fulani cha nyuma ila ikwa imefungwa kwa idhaa yangu,halafu wakanijibu eti hiyo akaunt haitumiki.<br />
sasa naogopa na huyu anaweza kuwa walewale
Kweli lazima uwe na wasiwasi kwan aliye ng'atwa na nyoka hata jani likimgusa anashtuka..ila hebu mtest akileta yaleyale au aina flani hivi mpe makavu yake.
 
Kweli lazima uwe na wasiwasi kwan aliye ng'atwa na nyoka hata jani likimgusa anashtuka..ila hebu mtest akileta yaleyale au aina flani hivi mpe makavu yake.

Ataibiwa, hamna haja ya kuwajibu!!
 
hata mimi ilitokea msg kama hiyo,,mi nikaijibu lakini hajanitumia picha hadi leo
 
Walianza na sms kwenye simu sasa wana2ma e-mail,hawa wa2 ni professional co siri.B care
 
asanteni wana jamvi....basi tumevamiwa ile mbaya tuwe makini
 
Mh,huo ni wizi. Kuna mmoja alijita Prisca Yak akaniambia yeye ni mkimbizi toka Somalia anaishi ukimbizini Senegal,aliitaji namba yangu ya a/c nikamchomolea nikamwambia ani2mie yake lkn ikumbukwe alianza kwa gia ya kunipenda. Akaniambia wazazi wake walikufa vitani ila walimwachia urithi mkubwa so alitaka nimuoe ili niweze kurithi hyo mali,ila nimtumie a/c yangu. Juzi kati kaniambia yupo Spain ameshatoka Senegal. Mkuu those are thieves.
 
Ukipata taarifa za watu kama hao usifanye papara utashindwa kuwakamata , tega mtego wa kuwshilikisha Beaural of Investigation ama beaural of corruption wanao utaalamu siku hizi jinsi ya kunasa hoa mahafidhina....ama baradhulii...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom