Nataka kuhamia Kenya

Hero

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
3,718
2,000
Habari wakuu

Nataka kuhamia Nairobi, Kenya kwa hivyo yeyote mwenye uzoefu na jiji hili anipe abc ikiwemo maisha yapoje, mtaa gani mzuri kuishi Kodi ya nyumba, biashara gani nzuri za kufanya ..

Karibuni
Si uliambiwa uhamie burundi, imekuwaje tena kenya😂😂😂!
 

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,900
2,000
Islilii si ndio kuna watu wanaompigania , ambao mabomu ni kama vitenesi wazee wa liplip
Huwezi kulipua unapoishi ni uongo nimeishi hapo ISILII,

St.Theresia kwa mbele yake 3years wale hawana shida kabisa na hakuna wizi kule

Sema wao ufadhiri magaidi kwao somalia ikiwa rais aliyepo madarakani hawamtaki.
 

CHIBURABANU

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
2,555
2,000
Aje tu kama Bongo hapakaliki, japo hajatoa maelezo ya kutosha, kwamba bajeti yake shilingi ngapi, maana huku inategemea una hela kiasi gani na umejiandaa kufanya nini, fursa zipo kibao, bidii yako tu.
Hamnaga fursa huko,wengi wanakimbilia huku tz,huko kwenu ataishia kuwa baba mboga tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom