Nataka kuhamia Kenya

Habari wakuu

Title inajieleza, nataka kuhamia Nairobi, kenya kwahivyo yeyote mwenye uzoefu na jiji hili anipe abc ikiwemo maisha yapoje, mtaa gani mzuri kuishi Kodi ya nyumba, biashara gani nzuri za kufanya ..

Karibuni
Unavunja maagizo..!!! Tumeambiwa tuhamie Burundi, wewe unataka kuhamia Kenya..!!!
 
Kapange Westland ni kuzuri ila wale jamaa bwana wanapangishana kikabila sana yaani kule ukabila mbele

Kwa biashara kule unaweza kujichanganya gikombaa kule unadaka viatu au nguo kali unakuja kuuza city center, Gikombaa kuna wabongo wengi sana ila wanajidai wakenya
 
Shukrani mkuu ..
 
Nairobi kuna pesa but life is very expensive.

Chagua mitaa ya kuishi

Sehemu hatari ni Mathare na Kibera kama sijakosea.

Kama unataka kuishi vizuri na usipate usumbufu kaishi Isilii na wasomali, kasarani, Parkland au njiru

Maeneo mengine siyajui vizuri.
Islilii si ndio kuna watu wanaompigania , ambao mabomu ni kama vitenesi wazee wa liplip
 
Kila la heri Mkuu. Wasalimie sana Kenyatta na Odinga.
Habari wakuu

Title inajieleza, nataka kuhamia Nairobi, kenya kwahivyo yeyote mwenye uzoefu na jiji hili anipe abc ikiwemo maisha yapoje, mtaa gani mzuri kuishi Kodi ya nyumba, biashara gani nzuri za kufanya ..

Karibuni
 
Kama una mtaji pesa ipo sema ujiandae tu kupambana kweli na kuinvest kwenye vitu ambavyo lazima wakenya wanunue,

Chumba cha chini angalau kwenye maeneo niliyokutajia utapata kuanzia elf 4 bei ya chini na kuendelea inategemea unataka kuishi wapi na chumba chenye ubora gani.

Ukitaka nyumba zipo

Uzuri wa Kenya kama chumba ni elfu 5 utalipia elfu 10 na unaanza kuishi kwenye chumba chako tofauti na dar mambo ya miezi 3
Elfu 5 hii ya Bongo? Ama ndo kubadili kwa fedha za KES na kuwa Laki moja???
 
Back
Top Bottom