Nataka kuhamia Kenya

Habari wakuu

Title inajieleza, nataka kuhamia Nairobi, kenya kwahivyo yeyote mwenye uzoefu na jiji hili anipe abc ikiwemo maisha yapoje, mtaa gani mzuri kuishi Kodi ya nyumba, biashara gani nzuri za kufanya ..

Karibuni
Nairobi kuna pesa but life is very expensive.

Chagua mitaa ya kuishi

Sehemu hatari ni Mathare na Kibera kama sijakosea.

Kama unataka kuishi vizuri na usipate usumbufu kaishi Isilii na wasomali, kasarani, Parkland au njiru

Maeneo mengine siyajui vizuri.
 
Kama una mtaji pesa ipo sema ujiandae tu kupambana kweli na kuinvest kwenye vitu ambavyo lazima wakenya wanunue,

Chumba cha chini angalau kwenye maeneo niliyokutajia utapata kuanzia elf 4 bei ya chini na kuendelea inategemea unataka kuishi wapi na chumba chenye ubora gani.

Ukitaka nyumba zipo

Uzuri wa Kenya kama chumba ni elfu 5 utalipia elfu 10 na unaanza kuishi kwenye chumba chako tofauti na dar mambo ya miezi 3
 
Nairob maisha yako juu kidogo, ukiwa town kuwa Makin sana wizi nje nje, watu wake wajanja sana, na Nairobi nikuzuri mno kama unapesa,niliwah ish with my parents for almost 7yrs mitaa ya buruburu na kasarani
 
Back
Top Bottom