Nataka kuhama Zain, nihamie mtandao gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kuhama Zain, nihamie mtandao gani?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ibrah, Dec 16, 2008.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2008
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Wadau, mimi ni mteja wa Zain tangu mwaka 2004. Niliponunua simu nilipewa sim card ya Voda kama offer ikiwa na shilingi 1,000/- na baada ya mwezi mmoja nilihamia Tigo (Mobitel wakati huo) baada y kuona kuwa Vodacoma wako ghali sana. Mwaka 2004 nilipoteza simu na hivyo niliponunua simu nyingine nikaamua kuhamia Celtel baada ya kuona mahali nilipokuwa mandao wa Mobitel unasumbua.

  Baada ya Celtel kubadilisha jina na kujiita Zain, walituandikia wateja kwa sms kuwa wanakuja na mfumo mpya wa bonasi badala ya ule wa zamani kwa ajili ya wateja wao waaminifu (loyal customers). Baada ya kuingizwa kwenye hilo daraja la loyal customer kuanzia Novemba, Zain wakaja na mfumo mpya wa bonasi za kulazimisha ambazo ndo zinanifanya kutaka kuhamia mtandao mwingine. Kwanza walianza kutuandikia wateja sms kuwa ongeza 40,000/- kabla ya tarehe fulani upate bonasi ya shilingi 12,000/-! Kwa kweli mfumo huo unanikera na juzi nimepokea sms nyingine ati niongeze shs 40,000/- kabla ya tarehe 26 Dec ili nipate bonus! Ilinudhi sana maana nilidhani ni sms ya muhimu. Zamani Celtel ukiongeza airtime kwa muda fualni unatumiwa sms kuwa umepewabunus ya shilingi kadhaa na si kushawishiana kutumia ili upate bonus kama sasa.

  Mfumo wa sasawa kupata bonus na hasa kunitumia sms ati niongeze shs kadhaa kabla ya tarehe fulani ili nipate bonus umekuwa kero kwangu maana sioni sababu ya kunishawishi kuongeza matumizi ati nipate bonus.

  Wana JF nimeazimia kuachana na Zain, Je, nihamie mtandao gani ambao ni bora zaidi?
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2008
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Yaani unahama Zain- kisa Bonasi?
  A u serious?
   
 3. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2008
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kama unaishi Tanzania, jikamatishe Tigo mtandao wa wanafunzi na walimu wao!
   
 4. m

  macinkus JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2008
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 260
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  kama upo dar au zanzibar hamia zantel ni poa.

  macinkus
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2008
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nionavyo Zantel ndo wana gharama za chini kuliko wakifuatiwa na Tigo VODA NA ZAINA wako juu.
  Kwa mibonus then amia Zantel
   
 6. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #6
  Dec 16, 2008
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,280
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  Nunua chip zote TIGO,VODA,ZANTEL,ZAIN kila moja ina faida yake
   
 7. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #7
  Dec 16, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Nashauri Zantel...
   
 8. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #8
  Dec 16, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  bwana ibra

  katika kampuni zote mimi nilizowahi kutumia zain ndio wamekuwa na faida kwangu na kufanya maisha yangu bora zaidi katika ulingo wa mawasiliano na kadhalika nakushauri usihame zain huu ndio mtandao bora zaidi unachotakiwa ni kukutana na wahusika wa hiyo huduma yako watakusaidia mara moja na utaweza kufanikisha adhma yako hiyo kama unapenda unaweza kuniandikia pm nikupatie email address ya mtu unayeweza kuwasiliana nae moja kwa moja na atafanikisha kile ulichokuwa unataka

  fikiria unavyoweza kwenda karibu nchi zote afrika na simu yako hiyo hiyo ukawasiliana , unapata huduma ya internet hata ukiwa wapi na nyingine nyingi sana mtandao gani tanzania unaoweza kukufanyia hivyo ?
   
 9. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #9
  Dec 16, 2008
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Naomba unifahamishe faida ya kila mmoja wa watoa huduma za simu, kama ikiwezekana.
   
 10. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #10
  Dec 16, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ndugu mfano mimi huwa natembelea sana kanda ya ziwa haswa maeneo ya madini kule , maeneo yale mara nyingi sana zain ndio haisumbui au kuleta tatizo lolote ukiwa na report au ukitaka kuwasiliana ni hapo hapo ukiwa na simu pamoja na laptop yako mitandao mengine yote huwa inaleta utata muda mwingi haipatikani labda uwe karibu na minara karibu nayo

  hizo line nyingi tuseme labda kwa sababu ya promotion na urahisi wa gharama za mawasiliano kama zantel kupigiana ingawa sasa hivi kampuni zote zinaviwango vyake vya mawasiliano vya chini mfano kwa sasa zain kuanzia saa 4 usiku unaweza kuongea na simu za nje kwa gharama ya tshs 5 kwa dk huo ndio mtandao wa kwanza kwa tz kufanya hivyo ingawa zantel walikuwa na huduma hiyo ingawa kujiunga ulitakiwa kulipa kiasi cha alfu 20
   
 11. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #11
  Dec 16, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  ........What???
   
 12. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #12
  Dec 16, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Ni jambo la kawaida kwa makampuni ya simu kuwatumia wateja wake sms kama hizo unazotumiwa hata huku Ulaya lakini kuna option ya kuzistopisha kama hutaki kusumbuliwa, am not sure if this thing exists with Zain. Naamini pia ukiwapigia simu Customer service wa Zain na kuwajulisha kero yako ya hizo sms wataweka mambo sawa, binafsi sioni kama ni tatizo kubwa kiasi cha kukuhamisha mtandao.

  In general gharama za simu za mkononi bongo ni ndogo kama utapiga simu kwa watu walioko kwenye mtandao wako ie Zain to Zain au Tigo to Tigo, ukicross kwenye mtandao mwingine gharama ni almost double! inakula kichizi ndio maana its very common kwa Bongo kumkuta mtu anatembea na simu tatu!Simu ya lines mbili itakufaa sana.
   
 13. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #13
  Dec 17, 2008
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
   
 14. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #14
  Dec 17, 2008
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mteja huhama kwa kuangalia vitu vifuatavyo
  1. Gharama (tena gharama halali zisizo badilika badilika)
  2. Quality of service-mitandao mingi haina quality;
  4. Reliability (24/7)
  5. Access (locations & network reachability)
  6. Standard Customer Care
  to mention few

  Naona unasema zantel lakini jua you have few customer in there so most of time utakuwa unacross unless kama ni simu ya kupbeep tu; so kwa hayo naona mpaka sasa choice ni ya mteja lakini kama ni standard hizo walau Voda wanafanya vema; kagharama nako unanopata qualitable service tegemea kukalipia
   
 15. Obhusegwe

  Obhusegwe JF-Expert Member

  #15
  Jan 6, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 232
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Plz dont make me angry!!! Bado hujahamia tigo? Unasubiri nini? Hata mawaziri siku hizi (ofcoz na mafisadi) wanatumia tigo, so wahi haraka msela tigo mtandao wa wajanja, why pay more while u can pay less for the same service???? kuwa macho baba, zain waizi!!!
   
 16. Mr. Miela

  Mr. Miela JF-Expert Member

  #16
  Jan 22, 2009
  Joined: Aug 2, 2007
  Messages: 242
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kula tano mkuu.
   
 17. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #17
  Jan 22, 2009
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Nishajipatia TiGO mkuu, yaani ni bomba kweli hata ukipiga kwenye mtandao mwingine bado ni nafuu. Hata hivyo bado nina laini ya Zain, uchumi ukiruhusu itabidi ninunue hata simuya promotion ya Zain maana jamaa zangu wengi wananipata kupitia Zain.
   
 18. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #18
  Jan 27, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Nimetumia tigo tangu enzi za mobitel mwaka 1999, then buzz na sasa tigo.
  Kwa kweli kila nikijaribu kuhama najikuta ni shida tu nalazimika kurudi.
  Pamoja na udhaifu wake mwingineo bado cost wise ni poa kweli.
  Ninazo line chache za mitandao mingine ili inisadie nikisafiri kwenda kusikofikika tigo. Hata hivyo hotline yangu ni tigo mkuu. Ni bomba kweli. Pia Zantel nawakubali lakini tigo imewapiga kiboko wote kwa sasa.
  Acha kung'ang'ania line za wezi wa wazi wazi hawa wakina zain na voda.
   
Loading...