Nataka kuhama VODACOM niende mtandao upi ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kuhama VODACOM niende mtandao upi ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rutunga M, Mar 23, 2010.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Wapendwa,nimechoshwa na karaha za mtandao wa vodacom ambao nimeutumia tangu mwaka 2000 .

  nimekuwa nikipata adha kubwa hasa kama nataka kuwasiliana na wateja wangu walioko nje ya nchi ambao muda mzuri wa kwao wa kuwapata hapa kwetu inakuwa ni kuanzia saa 4:00 hadi saa 8:00 usiku na wakati huu huwezi kupata line ,kisa eti ni huduma za cheka time ambazo ninasababisha mtandao kujam na kutufanya sisi tusiojiunga na cheka time yao kukosa huduma.

  kwa siku natumia kati ya sh 20,000 hadi 30,000 kwa kuongea na simu hivyo najiona kama ni mmoja wa wateja wakubwa wa Vodacom,sasa nataka kuwahama niiende mtandao upi ?
   
 2. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2010
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Tigo au Zantel
   
 3. M

  Mpekechaji New Member

  #3
  Mar 23, 2010
  Joined: Mar 11, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Why not Zain mkuu? Mimi ndio ninaowakubali hapa home.
   
 4. Iramusm

  Iramusm JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 424
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Nenda kwenye mtandao ambao hauna promotion za usiku peke yake
   
 5. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Ulivyojiunga na Vodacom ulituomba ushauri? hebu acha kutumia jukwaa kufanya marketing bila kulipia. SHAME ON YOU.
   
 6. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160

  Tatzo la makapuni ya simu tanzania ni kushindana katika promotion badala ya huduma,unapoona vodacom wana hiyo promotion usiku,muda si muda utaona wengine wameiga.

  ninachotaka hapa ni mtandao wenye huduma bora ambao hunaweza kuutumia hata kama wana promotion,lakini hawa voda onaonekana wana block net ili kupunguza kasi ya watumiaji ,kumbe kwa kufanya hivyo wanaharibia wengine
   
 7. elimumali

  elimumali Senior Member

  #7
  Mar 23, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hamna haja ya kuhama. Nunua like 3 - Voda, Tigo, Zain.
   
 8. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  wewe unapendelea upi mbali voda
   
 9. f

  fikrahuru Member

  #9
  Mar 23, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakushauri uwe na line za mitandao yote walau mitatu. usifikiri watu wanakuwa na line za mitandao 2 na kuendelea kwa ufahari lah ni kwa sababu ya adha kama zilizokupata wewe. lakin kama umedhamiria hasa kuhama vodacom nakushauri uende zain.
   
 10. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nenda tiGO,Zain au Zantel.
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Nenda kwa namba yako hiyo hiyo Tigo au Zantel utapeta.
   
 12. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  I recommend Tigo Express yourself!
   
 13. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Zain karibu wanauzwa.hujaona thread ya MMK.
   
 14. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ngoja nikunong'oneze,
  Usihame hawa jamaa wameshusha gharama za kupiga simu. Sasa ni kama TIGO yaani 1Tsh per second
   
 15. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,839
  Likes Received: 20,858
  Trophy Points: 280
  pole sana na adha za voda,lakini gharama za simu bongo ni ghali!!je kwa mwezi unatumia kiasi gani? tsh 1million?
  hivi hamna deals kwenye mitandao ya bongo eg tsh50k a month then u get like 1000mins talk time and 1000txts??

  FREE

  from £30 a month plus £5 BlackBerry email Booster  T-Mobile’s first full touchscreen BlackBerry has it all, for business and pleasure. From 10 email accounts to instant messaging, from 3G internet to iTunes sync, from WiFi to a 3.2 megapixel camera. Get it on the best smartphone network now.
  Read more Full touchscreen functionality with SurePress™ makes emailing and texting easy on the BlackBerry® Storm2™. Use BlackBerry Messenger for instant messaging and picture-sharing, and BlackBerry Maps to navigate. You can have up to 10 email accounts and download and edit attachments. Superfast 3G internet makes all this possible. WiFi is built in, along with Bluetooth and a speakerphone. For music on the move sync it with your iTunes or plug into the MP3 player. The 3.2 megapixel camera has autofocus and image stabilisation for crystal clear shots. And the icing on the cake? Long battery life. Phew.

  Key features


  Select phone and choose plan


  [​IMG] You payYou getPhone costPlan lengthYour phone £30.00 600 minutes
  500 texts
  Flexible Booster
  Unlimited* Internet Unlimited* BlackBerry email FREE24 monthsBlackBerry Storm2 (9520)
   
 16. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Vodacom yazindua 'HABARI NDIYO HIYO'
  [​IMG]
  Usihame
   
 17. L

  Lukwangule Senior Member

  #17
  Mar 23, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kha mimi nakushauri angalia kuwa na laini zote TTCL,Zain,Zantel,sasatel,voda, Tigo na takataka zote nchi hii ina dhiki kama jaruba la mpunga kilombero(manake magugu hujazana) utasiki ohh tunaupgredi.Lakini mimi nazimia Tigo .naongea Cuba kama nalia vile kisha nikicheki balance bomba kinoma siku nilijaribu Voda mbona cheche Zain usiseme ni balaa kwa kwenda mbele hii kampuni jina tamu strategy hovyoooooooo la maana kwenu laini gani ipo.Leo 23 ya Machi Voda wametangaza kwenda shilingi kwa sekunde mhh Tigo anawapelekapelaka kinoma
   
 18. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Hii ni misuse ya jukwaa sasa jamani, mtu unauliza mtandao wa kwenda kwenye thread kweli jamani are we serious?
   
 19. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  simple - nenda tigo mtandao wa students... kama tatizo lako ni pesa.
   
 20. O

  Omumura JF-Expert Member

  #20
  Mar 24, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sikio lako la kulia likikukwaza basi liondoe, ni ushauri wangu mzee, usiwe na mtandao wowote!
   
Loading...