Nataka kuhama Chama. Ushauri tafadhali

mculture3

Senior Member
Feb 24, 2017
126
165
Nimekuwa mwana takriban miaka Tisa.
Lakini Kwa sasa naona kinachoendelea, sio. Je, nijiunge Na chama gani?
Msaada pls. Usingizi sipati.
 
Huna mvuto mkuu, ungekuwa na mvuto ungeshawaona mawakala wetu mlangoni kwako ili muelewane bei!! Kwa sasa kaa huko huko uliko
 
"Umekosa Mungu nyumbani kwenu huwezi kuwa na dini ugenini" vipo vingi Cuf,Tlp,Chausta,Nccr-mageuzi,

~jhomwe tukubhakana,imi lundu mu nsebho,seeeeeeeeee
 
Uchwara ana bilioni 8 sawa na ile bei ya boti yake uchwara aliyopiga dili refu. Mwambie weye Chadema na uko tayari kuhama kama atapanda dau nono.

Nimekuwa mwana takriban miaka Tisa.
Lakini Kwa sasa naona kinachoendelea, sio. Je, nijiunge Na chama gani?
Msaada pls. Usingizi sipati.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom