mculture3 Senior Member Feb 24, 2017 126 165 Dec 7, 2017 #1 Nimekuwa mwana takriban miaka Tisa. Lakini Kwa sasa naona kinachoendelea, sio. Je, nijiunge Na chama gani? Msaada pls. Usingizi sipati.
Nimekuwa mwana takriban miaka Tisa. Lakini Kwa sasa naona kinachoendelea, sio. Je, nijiunge Na chama gani? Msaada pls. Usingizi sipati.
Mdomo bakuli JF-Expert Member Jan 7, 2017 3,443 6,986 Dec 7, 2017 #2 Huna mvuto mkuu, ungekuwa na mvuto ungeshawaona mawakala wetu mlangoni kwako ili muelewane bei!! Kwa sasa kaa huko huko uliko
Huna mvuto mkuu, ungekuwa na mvuto ungeshawaona mawakala wetu mlangoni kwako ili muelewane bei!! Kwa sasa kaa huko huko uliko
stickvibration JF-Expert Member Feb 7, 2017 3,227 5,132 Dec 7, 2017 #3 Umekuwa mwana wa nani miaka 9 Tuanzie hapo kwanza
themanhimself176 JF-Expert Member Dec 28, 2016 1,800 2,817 Dec 7, 2017 #4 kwani ulivyo jiunga ulimuomba nani ushauri? mkuu mbona unataka tupewe banne zisizo kuwa na mbele wala nyuma embu lala bhana
kwani ulivyo jiunga ulimuomba nani ushauri? mkuu mbona unataka tupewe banne zisizo kuwa na mbele wala nyuma embu lala bhana
Josaje Mtui JF-Expert Member Oct 1, 2016 2,459 2,140 Dec 7, 2017 #5 Mkuu kwani wewe ni liability au asset.hebu tuanzie hapo
Thad JF-Expert Member Mar 14, 2017 13,363 31,502 Dec 7, 2017 #6 Karibu sana kwenye chama cha ukombozi (CHAUMA) huku hatuuzi wala kununua wanachama.
Anakuja Yesu JF-Expert Member Mar 3, 2017 564 485 Dec 7, 2017 #7 "Umekosa Mungu nyumbani kwenu huwezi kuwa na dini ugenini" vipo vingi Cuf,Tlp,Chausta,Nccr-mageuzi, ~jhomwe tukubhakana,imi lundu mu nsebho,seeeeeeeeee
"Umekosa Mungu nyumbani kwenu huwezi kuwa na dini ugenini" vipo vingi Cuf,Tlp,Chausta,Nccr-mageuzi, ~jhomwe tukubhakana,imi lundu mu nsebho,seeeeeeeeee
BAK JF-Expert Member Feb 11, 2007 124,790 288,009 Dec 7, 2017 #8 Uchwara ana bilioni 8 sawa na ile bei ya boti yake uchwara aliyopiga dili refu. Mwambie weye Chadema na uko tayari kuhama kama atapanda dau nono. mculture3 said: Nimekuwa mwana takriban miaka Tisa. Lakini Kwa sasa naona kinachoendelea, sio. Je, nijiunge Na chama gani? Msaada pls. Usingizi sipati. Click to expand...
Uchwara ana bilioni 8 sawa na ile bei ya boti yake uchwara aliyopiga dili refu. Mwambie weye Chadema na uko tayari kuhama kama atapanda dau nono. mculture3 said: Nimekuwa mwana takriban miaka Tisa. Lakini Kwa sasa naona kinachoendelea, sio. Je, nijiunge Na chama gani? Msaada pls. Usingizi sipati. Click to expand...
MWALLA JF-Expert Member Dec 12, 2006 16,992 10,497 Dec 7, 2017 #9 stickvibration said: Umekuwa mwana wa nani miaka 9 Tuanzie hapo kwanza Click to expand... Kalelewa miaka9 patakuwa na kitu hapoo?!! Marinda yote kwishneh
stickvibration said: Umekuwa mwana wa nani miaka 9 Tuanzie hapo kwanza Click to expand... Kalelewa miaka9 patakuwa na kitu hapoo?!! Marinda yote kwishneh