EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 8,558
- 12,683
Ninataka kufungu satellite dish mwenyewe. Ni la kampuni ya Zuku. Ninaomba muongozo nilielekezee upande gani ili nipate signal na pia step by step jinsi ya kusearch chaneli
Si tulikubaliana kuna ile Google Translator tutakua tunatumia sisi tusiojua kiingereza, au kuna mabadiliko tena..?!Ingia google,andika "How to install a Zuku satellite dish yourself" maelezo yatakuwa kwa lugha ya kiingereza,kama lugha hiyo ni mwiba kwako basi sorry .
Tushabadilisha🤣🤣🤣Si tulikubaliana kuna ile Google Translator tutakua tunatumia sisi tusijua kiingereza, au kuna mabadiliko tena..?!
Mrejesho???Ninataka kufungu satellite dish mwenyewe. Ni la kampuni ya Zuku. Ninaomba muongozo nilielekezee upande gani ili nipate signal na pia step by step jinsi ya kusearch chaneli
Mrejesho wa nini?Mrejesho???
Kwani uliuliza, na umejibiwa nini?Mrejesho wa nini?