Nataka kufuga nyani. Nampataje na utaratibu ukoje?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,556
44,735
Nataka kuwa na nyani nimmililki nikitembea nae wa kufugwa mwenye akili sio yule nyani mandazi anayekimbia ama kuogopa watu nataka angalau mwenye tabia Kama vile kapatiwa mafunzo ukimweka begani anatulia mnatembea town,hajisaidii ovyo kinyesi bila utaratibu.Nauliza kwenu ambaye anajua lolote kuhusu ufugaji na umiliki,pa kumpata na je sheria inasemaje kuhusu mnyama huyo ukitaka kumfuga.
 
Nataka kuwa na nyani nimmililki nikitembea nae wa kufugwa mwenye akili sio yule nyani mandazi anayekimbia ama kuogopa watu nataka angalau mwenye tabia Kama vile kapatiwa mafunzo ukimweka begani anatulia mnatembea town,hajisaidii ovyo kinyesi bila utaratibu .Nauliza kwenu ambaye anajua lolote kuhusu ufugaji na umiliki,pa kumpata na je sheria inasemaje kuhusu mnyama huyo ukitaka kumfuga.
tafuta mtoto umfunze mwenyewe nishawahi fuga nikiwa mtoto tulikua tunawadaka na ndizi za ugoro au baruti huko msaranga ni moshi ilikua
 
Nataka kuwa na nyani nimmililki nikitembea nae wa kufugwa mwenye akili sio yule nyani mandazi anayekimbia ama kuogopa watu nataka angalau mwenye tabia Kama vile kapatiwa mafunzo ukimweka begani anatulia mnatembea town,hajisaidii ovyo kinyesi bila utaratibu .Nauliza kwenu ambaye anajua lolote kuhusu ufugaji na umiliki,pa kumpata na je sheria inasemaje kuhusu mnyama huyo ukitaka kumfuga.
Hakikisha kwanza wewe binafsi unajitosheleza kwa mahitaji ya chakula na matibabu kabla ya kumtowa mnyama kwenye nature yake kuja kumtesa mjini.

Hili ni muhimu sana, tunaona watu wanafuga mbwa na paka wakati wao wenyewe chakula hawajitoshelezi inabaki kuwa kero kwa watu wengine mifugo kuzurura hovyo kujitafutia chakula.
 
Nataka kuwa na nyani nimmililki nikitembea nae wa kufugwa mwenye akili sio yule nyani mandazi anayekimbia ama kuogopa watu nataka angalau mwenye tabia Kama vile kapatiwa mafunzo ukimweka begani anatulia mnatembea town,hajisaidii ovyo kinyesi bila utaratibu .Nauliza kwenu ambaye anajua lolote kuhusu ufugaji na umiliki,pa kumpata na je sheria inasemaje kuhusu mnyama huyo ukitaka kumfuga.
Acha wanyama waishi maisha yao ya asili kumfuga mnyama ambaye amezoea kuishi porini ni unyanyasaji yaani unataka mnyama awe mtumwa wako Uwe unazurura naye unataka akufurahishe wewe na watu wako please don't do that na sizani kama utafanikiwa kwahilo,
 
Wasikukatishe tamaa, wanyama hawa tumeumbiwa sisi binadamu tuwatawale, mimi mwenyewe nyumbani niko na ngedere namfuga vizuri tu na nataka kuongeza mwingine. Kila mtu ana furaha yake kama furaha yako ni kufuga nyani nenda vijijini huko kodi watu wakukamatie nyani mtoto ili uanze kumfunza tabia mwenyewe.
 
dalili ya kuuaga umaskin hyo kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasikukatishe tamaa, wanyama hawa tumeumbiwa sisi binadamu tuwatawale, mimi mwenyewe nyumbani niko na ngedere namfuga vizuri tu na nataka kuongeza mwingine. Kila mtu ana furaha yake kama furaha yako ni kufuga nyani nenda vijijini huko kodi watu wakukamatie nyani mtoto ili uanze kumfunza tabia mwenyewe.
Nakuja PM mkuu
 
Umefungia pm yako mkuu Ila anyway sio case..nielekeze hata ngedere sio mbaya nampataje mdogo na ni Bei gN
 
Nataka kuwa na nyani nimmililki nikitembea nae wa kufugwa mwenye akili sio yule nyani mandazi anayekimbia ama kuogopa watu nataka angalau mwenye tabia Kama vile kapatiwa mafunzo ukimweka begani anatulia mnatembea town,hajisaidii ovyo kinyesi bila utaratibu .Nauliza kwenu ambaye anajua lolote kuhusu ufugaji na umiliki,pa kumpata na je sheria inasemaje kuhusu mnyama huyo ukitaka kumfuga.
Kuna mwanasiass alimuita kafulila tumbili ,vipi tumbili hutaki
 
Nataka kuwa na nyani nimmililki nikitembea nae wa kufugwa mwenye akili sio yule nyani mandazi anayekimbia ama kuogopa watu nataka angalau mwenye tabia Kama vile kapatiwa mafunzo ukimweka begani anatulia mnatembea town,hajisaidii ovyo kinyesi bila utaratibu .Nauliza kwenu ambaye anajua lolote kuhusu ufugaji na umiliki,pa kumpata na je sheria inasemaje kuhusu mnyama huyo ukitaka kumfuga.
Mkuu mbona manyani wapo wengi humu, kuna Nyani Ngabu Nyanidume nyani2018 NyaniMzee.

Ikishindikana nenda TANAPA
 
Fuga ngedere ,nyani atakuchenjia akuue shauri yako,kama ni dume utakuta amebaka wadada wa nyumbani kwako,nyani sio
Manyani ogopa sana, kipindi nalima matikiti uko gobanya Kimbiji tulizoea kulinda ngedere na mbwa wetu, siku yalikuja manyani mawili yaliwagonga mbwa yakaanza kutufukuzia na sisi, yana meno makali vibaya mno! Acha kabisa.
 
Back
Top Bottom