Kilimo cha Parachichi - Fahamu Aina, Namna ya Kulima na Masoko

Procedures zipi mkuu

Kule Iringa kuna watu wanauza sana, sema inasemekana wanataka mbolea za samadi au mboji ndio ziwe zimetumiwa na sio Inorganic fertilizers
Sawa kabisa mkuu kwanza ni lazima.

Wakusajili wao na wakupe organic certificate na watakuwa wanakufuatilia kuanzia unapanda mpk mavuno. Pia ni lazima ufanye organic farming yaani utumie mbolea na madawa ya asili watakayokueleza wao. Ukijipandia tu mradi umesikia Hass dili huwezi kuliuza kwa mzungu hapa ndipo wengi wanabugi masikini.
 
Sawa kabisa mkuu kwanza ni lazima. Wakusajili wao na wakupe organic certificate na watakuwa wanakufuatilia kuanzia unapanda mpk mavuno. Pia ni lazima ufanye organic farming yaani utumie mbolea na madawa ya asili watakayokueleza wao. Ukijipandia tu mradi umesikia Hass dili huwezi kuliuza kwa mzungu hapa ndipo wengi wanabugi masikini.

Sent using Jamii Forums mobile app


Huu uonevu kabisa

Hivi huko Mexico nako wanatumia manure? Tutegemee mbolea ya kuku na ng'ombe kweli?
 
Kabla hujaingia huku plzzzz fika rungwe avocado hapo utapata utaratibu mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao Rungwe Avacado wanapatikana vipi? Una contacts zozote namba za simu .... msaada wako Mkuu.
Wakulima wengi avacado zinaozea mashambani. Wachuuzi toka Kenya sijui wameingiwa na nini? Kibaya zaidi hata wakija kuvuna kwako wanavuna wanayotaka wao hayo mengine sasa inakuwa vigumu kupata mnunuzi.
 
Hao Rungwe Avacado wanapatikana vipi? Una contacts zozote namba za simu. Msaada wako Mkuu.

Wakulima wengi avacado zinaozea mashambani. Wachuuzi toka Kenya sijui wameingiwa na nini? Kibaya zaidi hata wakija kuvuna kwako wanavuna wanayotaka wao hayo mengine sasa inakuwa vigumu kupata mnunuzi.
Namba zao sijasave, Google utazipata.

Haya ndio makosa ninayowaonya watu humu. Ukijipandia bila kuwaona wanaoexport itakula Kwako epuka kununua Miche ya mtaani.

Kampuni nyingine ni africado Kilimanjaro, tanzanice njombe (sishauri sana hapa) Kenya wananunua bila kuangalia sana ulivyolima na kuexport ndio maana soko lao halieleweki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba zao sijasave, Google utazipata
Haya ndio makosa ninayowaonya watu humu. Ukijipandia bila kuwaona wanaoexport itakula Kwako epuka kununua Miche ya mtaani.

Kampuni nyingine ni africado Kilimanjaro, Tanzanice Njombe (sishauri sana hapa). Kenya wananunua bila kuangalia sana ulivyolima na kuexport ndio maana soko lao halieleweki

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Mkuu
Tanzanice nasikia ndio wapo huko nyanda za juu kusini watawaliza wakulima
 
Tanzanice ni wazuri tu. Tatizo wao ni only organic certified, hawapo global gap Kama rungwe kwahiyo wanakutana na competition kubwa sokoni na hawawezi kuuza bei nzuri huko EURO Kama rungwe. Pia wanadeal na current market needs so anytime wanaweza kuacha avocado na kuhamia zao lingine mfano mwaka huu wamecertify wakulima wa passion fruit.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila eneo la ekari moja it is Ideal kuvuna matunda ya parachichi yenye thamani ya milioni mbili. Kwa ekari hamsini inamaana unakuwa unavuna matunda ya thamani ya milioni mia. yaani hapo unaajiri na kuajiri wafanya kazi kadhaa kwa ajili ya shamba tu
We hiyo bei ya wapi, msimu huuu april kilo ya parachichi ni sh.1600
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom