Nataka kufanya kilimo cha tunda la parachichi

Narubongo

Narubongo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
2,065
Points
1,250
Narubongo

Narubongo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
2,065 1,250
Procedures zipi mkuu

Kule Iringa kuna watu wanauza sana, sema inasemekana wanataka mbolea za samadi au mboji ndio ziwe zimetumiwa na sio Inorganic fertilizers
Sawa kabisa mkuu kwanza ni lazima
Wakusajili wao na wakupe organic certificate na watakuwa wanakufuatilia kuanzia unapanda mpk mavuno
Pia ni lazima ufanye organic farming yaani utumie mbolea na madawa ya asili watakayokueleza wao. Ukijipandia tu mradi umesikia Hass dili huwezi kuliuza kwa mzungu hapa ndipo wengi wanabugi masikini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
2,851
Points
2,000
Age
32
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
2,851 2,000

Huu uonevu kabisa

Hivi huko Mexico nako wanatumia manure ? Tutegemee mbolea ya kuku na ng'ombe kweli?
 
Narubongo

Narubongo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
2,065
Points
1,250
Narubongo

Narubongo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
2,065 1,250
Hakuna uonevu hapa soko la nje linahitaji organic na hata bei ya organic ni kubwa sana inafikia $2 kwa organic avocado 1. Ukitaka kulima inorganic utauza 1 kg kwa 500 na ushindani wa soko ni mkubwa sana yatakuozea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
2,851
Points
2,000
Age
32
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
2,851 2,000
Hakuna uonevu hapa soko la nje linahitaji organic na hata bei ya organic ni kubwa sana inafikia $2 kwa organic avocado 1. Ukitaka kulima inorganic utauza 1 kg kwa 500 na ushindani wa soko ni mkubwa sana yatakuozea

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbombo ngafu

Kilimo cha kutegemea mbolea ya asili sio cha kispoti spoti
 
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Messages
4,952
Points
2,000
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2009
4,952 2,000
Kabla hujaingia huku plzzzz fika rungwe avocado hapo utapata utaratibu mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao Rungwe Avacado wanapatikana vipi? Una contacts zozote namba za simu .... msaada wako Mkuu.
Wakulima wengi avacado zinaozea mashambani. Wachuuzi toka Kenya sijui wameingiwa na nini? Kibaya zaidi hata wakija kuvuna kwako wanavuna wanayotaka wao hayo mengine sasa inakuwa vigumu kupata mnunuzi.
 
Narubongo

Narubongo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
2,065
Points
1,250
Narubongo

Narubongo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
2,065 1,250
Hao Rungwe Avacado wanapatikana vipi? Una contacts zozote namba za simu .... msaada wako Mkuu.
Wakulima wengi avacado zinaozea mashambani. Wachuuzi toka Kenya sijui wameingiwa na nini? Kibaya zaidi hata wakija kuvuna kwako wanavuna wanayotaka wao hayo mengine sasa inakuwa vigumu kupata mnunuzi.
Namba zao sijasave, Google utazipata
Haya ndio makosa ninayowaonya watu humu. Ukijipandia bila kuwaona wanaoexport itakula Kwako epuka kununua Miche ya mtaani.

Kampuni nyingine ni africado Kilimanjaro, tanzanice njombe (sishauri sana hapa). Kenya wananunua bila kuangalia sana ulivyolima na kuexport ndio maana soko lao halieleweki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Messages
4,952
Points
2,000
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2009
4,952 2,000
Namba zao sijasave, Google utazipata
Haya ndio makosa ninayowaonya watu humu. Ukijipandia bila kuwaona wanaoexport itakula Kwako epuka kununua Miche ya mtaani.

Kampuni nyingine ni africado Kilimanjaro, tanzanice njombe (sishauri sana hapa). Kenya wananunua bila kuangalia sana ulivyolima na kuexport ndio maana soko lao halieleweki

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Mkuu
Tanzanice nasikia ndio wapo huko nyanda za juu kusini....watawaliza wakulima
 
Narubongo

Narubongo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
2,065
Points
1,250
Narubongo

Narubongo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
2,065 1,250
Tanzanice ni wazuri tu. Tatizo wao ni only organic certified, hawapo global gap Kama rungwe kwahiyo wanakutana na competition kubwa sokoni na hawawezi kuuza bei nzuri huko euro Kama rungwe. Pia wanadeal na current market needs so anytime wanaweza kuacha avocado na kuhamia zao lingine mfano mwaka huu wamecertify wakulima wa passion fruit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
T

Tangantika

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2018
Messages
445
Points
500
T

Tangantika

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2018
445 500
Kila eneo la ekari moja it is Ideal kuvuna matunda ya parachichi yenye thamani ya milioni mbili. Kwa ekari hamsini inamaana unakuwa unavuna matunda ya thamani ya milioni mia. yaani hapo unaajiri na kuajiri wafanya kazi kadhaa kwa ajili ya shamba tu
We hiyo bei ya wapi, msimu huuu april kilo ya parachichi ni sh.1600
 
T

Tangantika

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2018
Messages
445
Points
500
T

Tangantika

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2018
445 500
Hili zao kweli ni deal ila mpaka uliuze ni mziki na wengi hawajui hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli,mbeya, Njombe wananunuzi wanakuja nyumbani kwako kununua hata kama una mti mmoja.kampuni ya Rungwe wao ndio kidogo wanamasharti hasa ya usafi, mti usiwe karibu na jalala au choo.Hata hivyo soko la ndani ni kubwa sana maana hatuna mahekta ya parachichi panda tu parachichi isitoshe wakenya ndio huja nyanda za juu kununua hivyo Arusha ni karibu kabisa na wakenya unaweza tafuta connection.Wakenya wenzetu wana export UK.Jambo lingine ni kwamba Parachichi za Tanzania zinaenda msimu tofauti na ulaya hata tulime ardhi ya mikoa yote inayostawi parachichi hatutoshelezi soko la dunia.mikoa inayastawi parachichi ni mbeya, njombe, arusha kilimanjaro kagera na kigoma.kila sehemu inayostawi kahawa na chai parachichi itakubali.
 
Forum statistics

Threads 1,285,931
Members 494,830
Posts 30,879,334
Top