Nataka kufanya collabo na Stara Thomas

MfalmewaKiha

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
1,191
1,231
Mimi ni mwanamziki,Nimewaza sana mtu ambae naweza fanya nae collabo nikagundua huyu mwana mama Anaweza Kusimama vzr kwenye Chorus yangu ,

Tatizo nimejaribu kumtafuta kwa namna yoyote ile ila nimekosa mawasiliano
Tafadhari mwenye Mawasiliano yake anisaidie
Naomba kuwakilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom