Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,992
- 31,695
Hahahah
Hahahah
Hii business ukipata sehem yenye maduka walau hata ma4...ukawa na delivery service ya uhakika...hata kama utacharge pesa kwa delivery...!!itakulipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan hapo ndo penyewe...ukishndwa hapo n mtihan
Nnapofanyia biashara kuna maduka mawili ya jumla...ila mmoja anauza kuliko mwenzie n kwa huduma ya delivry
Ujue wafanyabiashara hua hawajisikii vizuri kuacha biashara na kufuata mzigo...so wanachofanya ni kuagiza huku hela zingne znaingia...!!
Ajiri vijana...wape kazi...watengenezee usafirishaj kama mikokoten miwili na baiskeli kwa oda ndogo ndogo...!!kisha wape uhuru kuwa hela ya delivery watajuana wao na mteja...!!
Key ya kufanikiwa kibiashara ni understanding tuu...biashara co bidhaa...biashara ni mtu/muuzaji

nafikiri itanibidi napotaka kufungua hii buzy, natakiwa kufika angalau na vipeperushi kwa maduka tofauti na pia kuwaambia kuwa tunawafikishia bidhaa sio lazima wao waje dukani kwangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah..biashara n muhim uitangaze...plus kumbuka pia kuchunguza bei na udhaifu wa majiran zako...!!hii itakupa chance ya kuteka soko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upande wa cocacola utakuwa unanunua kwa msambazaji mkuu wa eneo husika na wana bei elekezi ya wewe kununua na kuuza.
Tafuta eneo changanyikeni lenye maduka mengi ya rejareja ufurahie biashara yako.
Kwanza lazima nijue unamtaji kiasi gani, pili biashara ya makreti itakusumbua kama mtaji wako nimdogo kwani kreti 100 huwezi kua agent Bali utanunua kwama agent na faida itakua ndogo. Ila ushauri wangu deal na box tu kama mtaji nimdogo.
Karibu mkuusiti ya mbele