Nataka kufanya Biashara ya duka la vipodozi( Cosmetics) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kufanya Biashara ya duka la vipodozi( Cosmetics)

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mugaji, Apr 11, 2012.

 1. M

  Mugaji Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Wana JF naombeni ushauri wenu zikiwemo changamoto zake.
   
 2. M

  Mundu JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,720
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Fanya biashara ya vipodozi vya bei nafuu...ukitarget akina mama wa nyumbani, wanafunzi wa vyuoni uta win. Sehemu yako ya soko iwe ni ya mkusanyiko wa watu wengi...kama stendi ya basi, sokoni n.k
   
 3. sexologist

  sexologist JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 2,296
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Daaaahhh.... Aiseeee... watu humu ndani huwa ni vituko sana... u always nourish my day by long laughter... hahahahahahaaaaaa....
   
 4. salehom

  salehom Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wadau.Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza vipodozi sehemu ya Sinza Madukani. Lakini sina uzoefu na biashara hii.Nina mtaji wa shilingi milioni tano. Bahati nzuri fremu sio ya kupangisha, nimepewa na father. Naomba mnichangie mawazo Je inalipa kweli? Changamoto zake zipi? Au kama kuna wazo zuri zaidi ya biashara hii tujuzane wadau.Naombeni mawazo yenu wadau.
   
 5. a

  asilia zanzibar Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  biashara hiyo siyo mbaya inategemea na location na aina ya vipodozi unavyotaka kuuza coz kuna mapambo ya kike kuna mafuta na lotion na kuna pafryum na urembo mwengine so unataka kuweka kipi ama vyote
   
 6. salehom

  salehom Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nataka niweke vipodozi, mafuta ya kupaka, Pafyumu, Nywele bandia, Heleni, cheni na vitu vinginevyo.
   
 7. a

  asilia zanzibar Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ni sawa basi iyo ni nzuri coz utakuwa na wateja wa aina tofauti so when u whant to start
   
 8. teresa emanuel

  teresa emanuel Member

  #8
  Mar 1, 2017
  Joined: Dec 19, 2016
  Messages: 80
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 25
  Nahitaji kufanya biashara ya duka la vipodozi je ?niwe na mtaji wa sh ngapi na naombeni idea kwa wenye ujuzi maana sijawai kufanya hii biashara na naipenda mi niko mkoani mbeya
   
 9. sheremaya

  sheremaya JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2017
  Joined: Mar 22, 2015
  Messages: 578
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 180
  anza na milion 8 kwenda juu
   
Loading...