Nataka kufanya biashara Tunduma

Delegate

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
331
201
Wakuu wangu
naomba ushauri kwa wenyeji wa Tunduma
nataka nifungue ICT business tunduma
itakuwa more professional,Computer supply and repair na Internet
office zinapatikana hapo?
 
Umesharudi kutoka ughaibuni?
 
kabla hujafanya inabidi uende kufanya survey ya mahali hapo tunduma kisha ndo uanze hiyo biashara yako
maana maeneo yale mm ninavyofahamu ni sehemu za biashara za vitu, na miizigo inayosafirishwa kwenda zambia
 
unaona ni maeneo gani naweza fanya ICT business in professinal way katika Tanzania?naomba uondoe Dar na Arusha na Moshi
 
Ndo kusema una hizo hizo $5k mkuu? mbona kichele sana hiyo? rudi tena ughaibuni ukazichange upya uje na 10times of your cash in hand, otherwise unareta utani mura!!
 
habari yako kaka,mimi nimeishi Tundum kwa zaidi ya miak 15 napajua vizuri sana. kuhusu hiyo biashara uliyowaza siwezi kukushauri ukafanye coz soko sio kubwa labda kama utaweza kuuza vitu kama simu (nzuri na za bei),laptops, NGUO hasa special watu wa tunduma mtumba sio sana,biashara ya chakula kwa maana hoteli,biashara ya nyumba ya kulala wageni,bureau de change,kufungua stoo then unakuwa wakala wa biadhaa kama za bakhresa,metl n.k. ukitulia na ukiwa na mtaji wako mzuri tunduma lazima upata hela
 
vipi biashara ya dawa hapo tunduma?. mtoa mada jaribu kutafuta miji yenye vyuo kama mwanza na dom.
 
Wakuu wangu
naomba ushauri kwa wenyeji wa Tunduma
nataka nifungue ICT business tunduma
itakuwa more professional,Computer supply and repair na Internet
office zinapatikana hapo?

ICT kwa tdm boda utachoma pesa bure, labda dom
 
habari yako kaka,mimi nimeishi Tundum kwa zaidi ya miak 15 napajua vizuri sana. kuhusu hiyo biashara uliyowaza siwezi kukushauri ukafanye coz soko sio kubwa labda kama utaweza kuuza vitu kama simu (nzuri na za bei),laptops, NGUO hasa special watu wa tunduma mtumba sio sana,biashara ya chakula kwa maana hoteli,biashara ya nyumba ya kulala wageni,bureau de change,kufungua stoo then unakuwa wakala wa biadhaa kama za bakhresa,metl n.k. ukitulia na ukiwa na mtaji wako mzuri tunduma lazima upata hela
naomba unitafute ndugu
 
Back
Top Bottom