Wakuu wangu
naomba ushauri kwa wenyeji wa Tunduma
nataka nifungue ICT business tunduma
itakuwa more professional,Computer supply and repair na Internet
office zinapatikana hapo?
kabla hujafanya inabidi uende kufanya survey ya mahali hapo tunduma kisha ndo uanze hiyo biashara yako
maana maeneo yale mm ninavyofahamu ni sehemu za biashara za vitu, na miizigo inayosafirishwa kwenda zambia
unaona ni maeneo gani naweza fanya ict business in professinal way katika tanzania?naomba uondoe dar na arusha na moshi
kabla hujafanya inabidi uende kufanya survey ya mahali hapo tunduma kisha ndo uanze hiyo biashara yako
maana maeneo yale mm ninavyofahamu ni sehemu za biashara za vitu, na miizigo inayosafirishwa kwenda zambia
Mkuu nimesharudi na nina usd 5000 peke yake,naogopa sana maisha ya Dar,nafikiri Tunduma is perfect place for me?
Hiyo mbona hela nyingi sana tu kwa dsm..
unaona ni maeneo gani naweza fanya ICT business in professinal way katika Tanzania?naomba uondoe Dar na Arusha na Moshi
vipi biashara ya dawa hapo tunduma?. mtoa mada jaribu kutafuta miji yenye vyuo kama mwanza na dom.habari yako kaka,mimi nimeishi Tundum kwa zaidi ya miak 15 napajua vizuri sana. kuhusu hiyo biashara uliyowaza siwezi kukushauri ukafanye coz soko sio kubwa labda kama utaweza kuuza vitu kama simu (nzuri na za bei),laptops, NGUO hasa special watu wa tunduma mtumba sio sana,biashara ya chakula kwa maana hoteli,biashara ya nyumba ya kulala wageni,bureau de change,kufungua stoo then unakuwa wakala wa biadhaa kama za bakhresa,metl n.k. ukitulia na ukiwa na mtaji wako mzuri tunduma lazima upata hela
sijakusoma ndugu dawa gani au dawa za nini?vipi biashara ya dawa hapo tunduma?. mtoa mada jaribu kutafuta miji yenye vyuo kama mwanza na dom.
Wakuu wangu
naomba ushauri kwa wenyeji wa Tunduma
nataka nifungue ICT business tunduma
itakuwa more professional,Computer supply and repair na Internet
office zinapatikana hapo?
naomba unitafute nduguhabari yako kaka,mimi nimeishi Tundum kwa zaidi ya miak 15 napajua vizuri sana. kuhusu hiyo biashara uliyowaza siwezi kukushauri ukafanye coz soko sio kubwa labda kama utaweza kuuza vitu kama simu (nzuri na za bei),laptops, NGUO hasa special watu wa tunduma mtumba sio sana,biashara ya chakula kwa maana hoteli,biashara ya nyumba ya kulala wageni,bureau de change,kufungua stoo then unakuwa wakala wa biadhaa kama za bakhresa,metl n.k. ukitulia na ukiwa na mtaji wako mzuri tunduma lazima upata hela
dawa za binadamu yaani pharmacy.sijakusoma ndugu dawa gani au dawa za nini?
Hiyo mbona hela nyingi sana tu kwa dsm..
dawa za binadamu yaani pharmacy.