Nataka kufahamu vigezo vya kugombea urais wa JMT

halaaaa

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
305
73
Msaada jamani..

Ili kuteuliwa kuwa mgombea urais, namanisha yaani rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lazima uwe na vigezo gani? Kuhusu elimu, au lazima upitie nini?
 
1. Uwe na umri kuanzia miaka arobain
2. Uwe na akili timamu
3. Uwe mtanzania wa kuzaliwa
4. Usiwe imewahi kushtakiwa na kuhukumiwa kwa makosa ya jinai,uhain,uhujumi uchumo
5. Ujue kusoma na kuandik vizur
sifa za ziada
at least uwe elimu ya chuo kkuu degree moja na kuendelea

Kuhusu elimu ya utawala vip
 
Back
Top Bottom