Nataka kufahamu matumizi ya TANCIS

ROBBY1993

Member
Sep 24, 2014
59
23
Wadau habarini za Jumapili?

Tafadhali naomba kufahamishwa vizuri matumizi ya huu mfumo wa TANCIS, naskia Tanzania Customs Integrated System.

Je mtu akikwambia kuwa Stuck on Tancis ana maana gani?
 
Huo ni Mfumo ambao umekuwa deployed kwa sasa kwa ajili ya Custom clearence. Ni mfumo wa TRA ambao upo integrated na Mamlaka mbali mbali kama TBS, TFDA, TRA yenyewe, Shipping lines, Clearing and forwarding Agents and all players who are in chain of achieving importation and exportation of Goods and services into Tanzania or Abroad respectively. Kabla ya mfumo huu kulikuwa na mfumo unaoitwa ASYCUDA. ambao ulionekana una mapungufu na hivyo Kama nchi tukaamua kuunda mfumo wetu wenye kutatua baadhi ya changamoto.

Kama mifumo mingine ya computer, TANCIS nayo hupatwa na matatizo. matatizo hayo yaweza kuwa yanasababishwa na Networking, or the system it self. so kama agent wako ame kuambia Yupo stacked on TANCIS, basi ujue kuna sababu imemsababisha kushindwa kufanya anachotaka kufanya.
 
Ahsante sana, kwa elimu nzur uliyonipatia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom