Nataka Kufahama Namna Ya kupata EVICTION ORDER ya mahakama ya kuondoa mali vitu, ama mtu alivamia kiwanja?

Mande Adili

New Member
Dec 27, 2018
0
1
Nataka Kufahama Namna Ya kupata EVICTION ORDER Ya mahakama? ya kuondoa mali vitu ,ama mtu alivamia kiwanja?
 
Nataka Kufahama Namna Ya kupata EVICTION ORDER Ya mahakama? ya kuondoa mali vitu ,ama mtu alivamia kiwanja#?
Mkuu kuna shauri lolote uliloisha fungua katika, baraza la kata/baraza la ardhi la wilaya?kulingana na thamani ya mali hiyo?na hukumu ikatolewa kuwa umeshinda?tuanzie hapo kwanza.
 
Nenda mahakamani wakuelezee utaratibu au tafuta mwanasheria
Bila kuwa shauri lililoisha amliwa mahakamani ni ngumu!!haiwezekani kamwe, huwezi ukaenda tu eti mtu amevamia kiwanja changu, nendeni mkamtoe, bila case kusikilizwa na kuonekana nani ni mmiliki halali wa kiwanja hicho!!ajipange tu kuendesha kesi kwanza
 
Back
Top Bottom