Nataka kuchukua fomu kugombea Urais,CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kuchukua fomu kugombea Urais,CCM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Andrew Nyerere, Jan 17, 2010.

 1. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #1
  Jan 17, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Nimefikiria kuchukua fomu kugombea Urais kwa tiketi ya CCM.

  Nimeuliza tayari,naambiwa kadi lazima uwe nayo miaka mitano kabla ya kugombea uongozi katika Chama.
   
 2. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,780
  Likes Received: 6,262
  Trophy Points: 280
  Mawazo yako ni potofu!
   
 3. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,167
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  ''Atakae mpinga Kikwete atakufa GHAFLA''....Mnajimu Yahaya.
   
 4. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33

  Haki yako hiyo mzee....japo uhuru wa/nafasi ya kuchagua na kuchaguliwa sijui iko vipi katika chama chako??
   
 5. O

  Omumura JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Umeshaandika wosia?kumbuka ya sheikh yahaya!
   
 6. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #6
  Jan 18, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Sheikh Yahya anaongea maneno bila kufikiri. Kama mtu anakufa au vipi,inategemea umahiri wa walinzi wake. Kama waliniz wako makini na kazi,mtu hawezi kufa hivi hivi.
  Unakumbuka Kennedy alipokufa,alikuwepo kijana mmoja anatazama,akawaza,''Kennedy amekufa kwa uzembe tu wa hawa walinzi. Nikiwa mkubwa nataka kujiunga na Seceret Service,I want to be part of a team that does not allow this to happen again'' Na kweli yule kijana,akawa mkubwa akajiunga na Secret Service,na kufanya kazi White House kumlinda Rais.
  Tazama ujambazi uliotokea,sijui umetokea wapi,watu wamekufa,raia wameuawa,sijui umetokea wapi,kwa sababu naona uvivu kufuatilia,kama huna uwezo,hata ukijua jambo gani limetokea,you can't do anything to help. Lakini ndio matatizo ya Jakaya Kikwete,the detereoration in the law and order situation.
  Kwa hiyo nimesema nafikiria kuchukua fomu kugombea Urais. I will campaign on a two tier policy agenda of the economy and crime. Ukimchagua Rais yule yule katika kipindi kichajo cha miaka mitano watakaofaidika ni wale wale waliofaidika katika miaka hii mitano iliyopita,and no one else.
   
 7. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Kumbe unataka kugombea ili ufaidike na kundi lako bora usichukue kabisa fomu afadhali nimpe yule yule aliyefaidika mwanzo inawezekana karibu atatosheka kuliko kuanza upya kumfaidisha mwingine.
   
 8. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #8
  Jan 19, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Kumbe nini,unatoa maoni kuhusu vitu usivyofahamu. Unadhani tutaogopa kuchukua fomu kwa sababu Mnajimu amesema kuna majini yatatushambulia,kwa sababu Mnajimu amesema,''kama huniamini kachukue fomu.''
   
 9. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #9
  Jan 19, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Ganesh gombea baba, prove them wrong kwa ushirikina wao.
   
 10. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Goodluck, be careful wanaweza hata kukusababishia ajali ili waseme sheikh yahaya alishatabiri.
   
 11. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  chukua fomu ugombee tu...
   
 12. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #12
  Jan 19, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,847
  Likes Received: 2,422
  Trophy Points: 280
  ...you have a point ...Usalama ni kati ya mambo machache rais kikwete alikuwa anajivunia ku achieve........,mara yakaja mauwaji ya albino amejitahidi....sasa hawa majambazi sijui wametoka wapi bwana kuja kumvurugia moja ya jambo kubwa alilokuwa akijivunia ..VITA DHIDI YA UJAMBAZI......at the end of the day majambazi wameipa serikali LAST CARD ....na wame count..!! nadhani wanaonesha kiburi kwa dola!!

  .....ukigombea hutapitishwa ....kwani tayari kipengele kikubwa cha kuwa mwanachama zaidi ya miaka mitano..kinakumaliza...if you want to do it just for fun and putting record....labda uangalia watu kama TLP ..ambao mwaka huu mrema hatasimama au vyama vingine....unless huwezi kuachana na mapenzi na ccm!!
   
 13. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #13
  Jan 19, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Sheikh Yahya anaongea kuhusu Freemasons as if they are the only ones who want to dominate the World. There are many groups who want to dominate the world. Freemasons are just one of them.
   
 14. annamaria

  annamaria Senior Member

  #14
  Jan 20, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  chukua fomu kaka.Kama vigezo unavyo why not?Kuamini maneno ya sheikh Yahya ni ujinga kama siyo upumbavu
   
 15. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #15
  Jan 20, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  The Nation,our Nation cannot afford five more years of this kind of leadership,kama inavyoonyeshwa na Ndugu Jakaya Kikwete. Maendeleo yoyote yaliyopatikana katika Uchumi yamekuwa dimmed na Goverment Scandals,Corruption in High Places,Corruption in Low Places.
  Miaka mitano zaidi ya Uongozi kama huu,na Taifa linaweza kuangamia,kama ilivyokuwa Urusi,ambako ilitokea breakdown in Law and Order kabla hajajika Putin.
  Wakati ule wa Campaign baada ya Mwinyi,Mwalimu Nyerere aliingilia kati kumpinga Jakaya Kiw\kwete na kumuunga mkono Mkapa,jambo ambalo lilinishangaza sana mimi.
  Lakini baadaye nikafikiria,nikaona bora Mkapa awe Rais,kwa sababu huyu Jakaya Kiwete akiwa Rais,labda rafiki zake watakwenda Ofisini kwake,kuongea,wataweka miguu juu ya meza na kujipongeza jinsi walivyofanikiwa kupata Uongozi wa Serikali.
  Miaka kumi imepita, Jakaya Kikwete amekuwa Rais,and that is exactly what happenned,the complete breakdown in Discipline katika Serikali ambayo imeleta hizi scandals zote. We cannot call this a Government.
   
 16. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #16
  Jan 22, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Leo Msasani amefika Mzee mmoja kutoka Kilimanjaro anasema kwamba amejadiliana na wazee fulani kule,na wanauliza kwa nini watoto wa Nyerere hawataki kugombea Urais,kwa hiyo ameleta ujumbe,anauliza kama yupo mmoja wetu anataka kugombea Urais.
  Anasema mwezi wa nane alisoma kwenye gazeti kwamba Madaraka Nyerere anataka kugombea Urais,Je Madaraka bado anataka kugombea Urais? Kama anataka kugombea Urais,basi wazee kule mkoa wa Kilimanjaroa watamuunga mkono. Akaambiwa kweli iliandika katika gazeti kwamba Madaraka anataka kugombea Urais,lakini siyo yeye aliyeandika,yupo mtu mwingine aliandika,na huyu mtu hakutumwa na Madaraka.
  Akaniambia hili swala amejadiliana kwa kina na Mama Maria,na Makongoro,na kwamba Makongoro amemuahidi kwamba ataitisha mkutano wa familia kulijadili hili swala. Baada ya kusikia hivyo,yule mzee akaridhika na kuondoka.
  Sasa sijui niseme nini. Sidhani kama tutafanya mkutano wowote kujadiliana kama kuna kuna mtu hapa anataka kugombea Urais.
  Watu wengi wantaka kuleta mabadiliko katika Nchi. Labda wanataka kuleta education reform,au financial reforms,au kuleta utaratibu wa school lunches,au fair labour relations,au whatever,au kujenga zahanati,au reform katika utendaji kazi wa hospitali;I hope watu wote wanaweza kupata nafasi ya kuleta mabadiliko katika Nchi bila kulazimika kugombea Urais.
   
 17. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #17
  Jan 25, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,847
  Likes Received: 2,422
  Trophy Points: 280
  you are right mzee.....kila mtu anao uwezo wa kuifanya Tanzania iwe sehemu bora ya kuishi.....makumbuka mwalimu alivyokuwa anawashangaa watu wanaokimbilia ikulu ,,si siri tunayaona sasa....wanachemsha!!!
  mwalimu alikuwa anasema kwa mtu mwenye akili timamu urais ni mzigo na mateso makubwa.....kwani hata ukikutana na kichaa ,ombaomba...wenye njaa barabarani unajuwa wanakuhusu!!...sidhani kama viongozi wa sasa wanaumizwa na hilo!!!

  nikiwa na mgeni wangu toka ngambo....majuzi alishangaa sana namna watu wanavyozagaa vijiweni wakati wa muda wa kazi...ilikuwa ndiyo siku yake ya kwanza tanzania,,,na akaniambia mnalo tatizo ...inaonekana watanzania ni wavivu.....makundi makubwa namna hii muda wa kazi ni dalili kuwa watu hawana kazi!!

  watu wanapoteza muda kuongea vijiweni,kuchungulia magazeti na wasinunue...kuangalia mazingaombwe masokoni....etc....watu hawa siku zote wamekuwa ni mtaji wa ushindi wa ccm.....kwa chakula tu kinatosha kuwafanya wachague mtu..njaa..utafikiiri huyo mtu aliyewahonga amewashikia fimbo kwenye kibanda cha kura...kura ni siri .....sijui kwa nini hawali chakula na kusaliti..na kutumia haki yao ...nadhani pia ni wajinga!!
   
 18. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #18
  Jan 25, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Umeshalipia gharama za sanda na jeneza? teh!! teh!!! teh!!
   
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Jan 25, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,173
  Trophy Points: 280
  Ganesh,

  Huoni kwamba Tanzania inakuwa kama ya kisultani sasa? Nasikia wengine wanamuandaa mtoto wa Mwinyi kuwa rais Zanzibar, huyu rais wa sasa wa Zanzibar ni mtoto wa rais wa zamani wa Zanzibar, kweli hakuna wengine wenye uwezo? Au ni usultani tu?

  Rais Nyerere mmoja anatosha. Ingawa una haki kikatiba, kung'ang'ania rais lazima awe Nyerere ni kama kutukana watu wengine hawana uwezo.
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Jan 25, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  Gombea tu mzee, hii ni haki yako na wala usimuogope shehe Yahya!
   
Loading...