MmasaiHalisi
Senior Member
- Jan 15, 2009
- 192
- 23
Ndugu wana jamii ninahitaji kuchimba kisima cha maji safi,ila sina uelewa wa makampuni yanayohusika kuchimba visima,ninaomba yeyote anayefahamu company yoyote inayochimba visima kwa bei nafuu

we upo maeneo gani/unaishi sehemu au unataka kuchimba sehemu gani?