nataka kubadili umiliki wa gari

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,558
2,698
wadau nataka nibadili jina katika kadi ya gari yangu,niliagza mwenyewe mwaka 2012 lakn kupitia kwa jamaa yangu,huyo jamaa hayupo nchini tena,sasa nataka kadi iwe na jina langu,nafanya nini na gharama ni kiasi gan?
 
Inaangaliwa gari ni ya sh ngapi unapewa garama inaweza fika laki na 80 au zaid nenda tra uwe na mkataba wa mauziano wa gar na tin no uwe nayo

Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
 
Hati ya mauziano, ikionesha gharama za mauziano... kadi original ya gari... elfu kumi ya kadi mpya... ila watakupigia kodi kidogo ya mauziano...
 
Pita pia kwenye web ya TRA nlishawahi kuona wameweka maelezo na malipo yapoje.
 
Back
Top Bottom