Nataka kubadili leaving certificate

DUMEGUY

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
500
204
Nilijaza leaving cert. kimakosa kwenye tarehe badala ya 7 nilijaza 17. Swali je nifuate hatua gani ili tarehe niziweke ziwe sawa. Ahsante
 
Sijajua kwa siku hizi ila kipindi mimi namaliza o level, leaving ulikua unairekebishia hapo hapo shuleni kwakua wao ndiyo watengenezaji.

Rudi shule, ingia ofisi ya mwalimu wa taaluma mueleze hilo swala. Ila leaving haina maana yoyote kama una cheti.
 
ujapitia mabonde na milima ndugu yangu ndo maana unasema leaving haina maana.

mtoa Nada nenda shuleni watakurekebishia tu.
 
ujapitia mabonde na milima ndugu yangu ndo maana unasema leaving haina maana.

mtoa Nada nenda shuleni watakurekebishia tu.
Ndiyo nikasema kama una cheti.
Kama huna ni mwokozi wako kwa ajira na mambo ya vitambulisho vya uraia.
 
Mkuu kama una cheti(Academic) Leaving certificate Haina maana yoyote
 
leaving inamilikiwa na shule uliyosoma...
nenda kwa academic mwambie anabadilisha tu tarehe kwa kukupa leaving mpya kabisa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom