Nataka kubadili dini naogopa wazazi wangu

naogopa kwasababu bado nawategemea wazaz na nna mda mref sna mpk nije kujitegemea mwnywe

Dear naomba unisamehe kama nitakukwaza.. Binafsi naona bado hauko tayari kwa maana ungekuwa tayari Kiroho and kimwili Trust me you wouldn't even worry about to convert to become a Muislam. Una woga because I think deep inside of your heart and soul you know what you plan to do is not right but because of your Friend's Family unasukumwa .. Hivi dear example let's say your parents ask you now our son/ daughter why you want to be a Muslim? What would you answer them? Nauliza hivi because nilishawahi kuulizwa na Mimi wakati nataka kuwa Mkristo. And what they want to hear from you is not the reason that you just told us here .. They want to hear spiritual calling reason and not because of your friend . Na ukumbuke if hii ni calling yako to a Muislam basi hayo majibu hayatakuwa from you as you but from God you want to believe inn( here sasa Sijui ni malaika ndio watakupa cha kuongea or. Kwa maana in Christianity we believe in Holy Spirit ambaye huwa anatufundisha na kutuongoza) . Na hivi vyote haviji kama huamini na una wasiwasi na unachotaka kukiamini. My suggestion to you naomba uombe Mungu sana akufunulie Truth about wapi usimame kabla hujaamua unachotaka kufanya, because what you are about to do there is no point of return .. kingine ndugu usikubali kupelekeshwa na watu. Kama huyo ni rafiki mwema asingekupa ushauri mmbaya Wa kutaka Wewe uwe Muislam kisiri.. hujiulizi why ? Binafsi sijawahi kushawishiwa or kushauriwa hivyo na Mkristo yeyote eti nibadili dini kisiri siri. All I could remember those people used to pray for me ili Mungu anionyeshe ukweli ..and with my prayers also God answer with divine visitation.. na ndio maana hata pale ndugu , wazazi na marafiki waliponiuliza I wasn't scare at all because I knew who was stand before me will defended me with the teaching from the Holy Spirit . Bila kufuata or kusali na kutaka kujua huyo unayetaka kumtumikia milele utakuja ishia njiani hapo ndipo utakapotaka kurudi kule ulikotoka .. Na ikitokea hivyo utaonekana hauna msimamo. Thats my advice ..Otherwise Good luck. My job is to pray for you and not to judge you.. . Naomba unisamehe nilipokukosea.. Thanks..
 
Shetani anajitahidi kuvuna kwasabab anajua mda umeshamwishia.in short njia ni moja tuu ya kufika mbinguni kwa baba nayo ni kumwamini na kumkiri Yesu kristo kua ni Bwana na mwokozi wa maisha yako.Tofauti na hapo jehanamu is waiting for you
 
I agree ndugu.. na ndio maana nilisema kwa one Thread kuwa huu ni mwisho Wa Dunia because too much corruption going on now.. Signs of the last days .. God help us.. Thanks..
 
Unataka umkane Yesu kisa wanadamu? Subiri aje akukane mbele za Mungu!

Amen.. And then huwa najiuliza why most Christians ( some of them ) are very easy to convert just like that ? Why? My prayers is to reach all who are lost God to open their eyes and remember the Blood was shed on the Cross ..Jesus.. The pain He went through just for Us and then today betray Him just like that.. I have every reason to say that He is My Holy Savior .. And no one will ever change my Faith no one , not even my own parents .or husband to be .. I know where this Man Jesus Christ took me from .. I was dead and lost Jesus .. And now He gave me a second chance to live Uuh and then somebody else comes just like that wants me to denied Him? No waay.. Just pray for for him/ her because I'm not sure if he / she knows what he/ she is about to do.... Thanks.
 
Freedom of worship... But you have to be wise when making your choices... Usifanye maamuzi ukiwa na mhemuko... jiulize upo tayari kuwa muislam, utaiweza Misingi yake maana usikute unataka kuishi kama familia ya rafiki yako ila sio kuoshi kama muislam... Hope umenipata
 
Sijawahi kuona mtu mjinga kama wewe.

Mimi nakushauri badili ila kabla hujabadili wambie wazazi wako sababu ya kubadili, kwamba rafiki yako ana tabia nzuri na familia yake ina maadili mazuri,maana yake ni kwamba familia yako haina maadili na tabia nzuri,wamekufundisha tabia mbaya na unataka kwenda kwa wenye tabia nzuri. Wambie kama ulivyosema hapa watakuelewa na watakuruhusu.

Kukuonyesha kwamba huna akili,huyo rafiki yako unaesema ana tabia nzuri anataka ubadili dini kwa siri,sasa tabia yake nzuri ikp wapi kama anataka jambo muhm hvyo kuhusu maisha yako liwe siri wazazi wako na ndugu zako wasijue,je ukipata tatizo na wazazi wako hawajui huoni utawaingiza matatizoni, mfano ukafa unataka wazazi wako wapelekwe mahakamani kudai mwili wakp uzikwe kiislam wakati ulibadili bila wazazi kujua.

Watoto wa kike sijui kwenye vichwa vyenu sijui huwa mmebeba nini,sijui matope(sio wote). Ndio maana watu wengine huwa wanalaani kuzaa mtoto wa kike ipo siku atakudhalilisha kama huyu binti anavyowadhalilisha wazazi wake hapa kwamba hawana tabia nzuri hadi inapelekea yeye kutaka kubaili dini.

Hiyo paragraph ya mwisho inaondoa maana ya maneno yako yote uliyoongea. Hakuna mtoto ambaye ni laana, na wala sisi watoto wa kike hatujalaaniwa. Tunakosea kama ambavyo watoto wa kiume wanakosea, kwa nini kwetu Iwe ni laana na kuwadhalilisha ila wakikosea watoto wa kiume Inakuwa ni kosa tu la kawaida.

Ndo maana mtoto wa kike akifanya mabaya ataambiwa karithi ujinga kwa mama yake, ila akifanya mazuri basi sifa zote kwa baba. Usije ukamnenea binti yako maneno ya laana, kwa sababu ipo siku utasema huyu mtu mbona nimemlea vizuri but imekuwaje ana mambo ya ajabu hivi. Bila kujua maneno uliyoyanena ndo yameumba. Tuleeni vizuri, tuombeeni then mengine mwachieni Mungu. Tuneneeni maneno mazuri, yakutujenga na kutupa moyo, tukikosea ni katika hali ya ubinadamu tu. HATUJALAANIWA
 
Wise words
 
Dear naomba unisamehe kama nitakukwaza.. Binafsi naona bado hauko tayari kwa maana ungekuwa tayari Kiroho and kimwili Trust me you wouldn't even worry about to convert to become a Muislam. Una woga because I think deep inside of your heart and soul you know what you plan to do is not right but because of your Friend's Family unasukumwa .. Hivi dear example let's say your parents ask you now our son/ daughter why you want to be a Muslim? What would you answer them? Nauliza hivi because nilishawahi kuulizwa na Mimi wakati nataka kuwa Mkristo. And what they want to hear from you is not the reason that you just told us here .. They want to hear spiritual calling reason and not because of your friend . Na ukumbuke if hii ni calling yako to a Muislam basi hayo majibu hayatakuwa from you as you but from God you want to believe inn( here sasa Sijui ni malaika ndio watakupa cha kuongea or. Kwa maana in Christianity we believe in Holy Spirit ambaye huwa anatufundisha na kutuongoza) . Na hivi vyote haviji kama huamini na una wasiwasi na unachotaka kukiamini. My suggestion to you naomba uombe Mungu sana akufunulie Truth about wapi usimame kabla hujaamua unachotaka kufanya, because what you are about to do there is no point of return .. kingine ndugu usikubali kupelekeshwa na watu. Kama huyo ni rafiki mwema asingekupa ushauri mmbaya Wa kutaka Wewe uwe Muislam kisiri.. hujiulizi why ? Binafsi sijawahi kushawishiwa or kushauriwa hivyo na Mkristo yeyote eti nibadili dini kisiri siri. All I could remember those people used to pray for me ili Mungu anionyeshe ukweli ..and with my prayers also God answer with divine visitation.. na ndio maana hata pale ndugu , wazazi na marafiki waliponiuliza I wasn't scare at all because I knew who was stand before me will defended me with the teaching from the Holy Spirit . Bila kufuata or kusali na kutaka kujua huyo unayetaka kumtumikia milele utakuja ishia njiani hapo ndipo utakapotaka kurudi kule ulikotoka .. Na ikitokea hivyo utaonekana hauna msimamo. Thats my advice ..Otherwise Good luck. My job is to pray for you and not to judge you.. . Naomba unisamehe nilipokukosea.. Thanks..

Ujumbe si haba
 
Huyo rafiki yako usikute ni ISIS agent at work (and you might be already brainwashed)
 
nna rafik yngu anaitwa rifat anatokea egypt. n muslim n he is really nice na familia yke. yupo tofaut sna na waislam wa tanzania.zaman nlkuwa nawaogopa waislam.kwake nmegundua unaweza kua muislam na ukawa mtu mzur. tabia yke na familia yke imenvutia sna mpk na mm napenda kua muislam. nataka nbadil din ila naogopa wazaz wngu hawatapenda.wazaz wang ni wakal sna hawawez kunikubalia.rafik yngu ananshaur nibadil kwa sir ili wazaz wngu wasijue lkn mmsitak nataka niwe muislam kabsa sitak nfanye siri.nfanye nn?

Kwanza badili halafu waeleze wazazi wako ki utaratibu na kwanini umebadili dini.

Kuingia Uislam ni maumizi yanayotakiwa yawe yako binafsi na si kwa kurubuniwa. Waislam wote duniani ndio walivyo, ni wema na wazuri, wachunguze utaona kuwa hawana tofauti labda awe ni Muislam ambae hafati Uislam ndiyo anakuwa tofauti.

Uislam ni mfumo kamili wa maisha.
 
Kama unaweza kumkana Mungu wako kabisa kabisa Kwa sababu ya mume, basi una matatizo. Yesu alisema ampendae baba au mama kuliko mimi huyo hanistahili.
 
Dear usifanye Siri kwanza ndani ya Moyo Wako upo serious?? Unajua watu wanapenda kuiona hii dini ngumu Sana ILA ukweli n kwamba kama unaish ipasavyo kimisingi ya dini itakavyo bas wala haikupi shida tena unaish kwa amani msitutie mikumboni na wengine wasioielewa dini hii nyinyi mna dini yenu na sisi tuna yetu Ni vipi mjudge flani maisha yake hata mfuko wake hamuujui? Ts Nat fair at all Islam is the religion of peace jamani so wote wapo hivyo dada/kaka fanya yoote ILA usifanye Siri kumbuka wazazi haohao ndo walokuleta duniani why uwafiche
 
Back
Top Bottom