Nataka kuanzisha training centre jamani mawazo plz

HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,551
708
Wadau,
ninampango wa kuanzisha training centre ambayo itatoa short courses mbalimbali e.g 3 months etc
pia naweza tumbukiza courses kama c.p.a, csp ambazo nitakuwa na hire experts waliozipata. Nipo songea. Naombeni mawazo wakuu hasa kama mtu ana document ambayo tayari imechanganua ani pm tujadili.
Changamoto zake ni nini?
 
mi sina ujuzi na hayo mambo but nikuahidi nitakuwa mwanafunzi kwako kwani kuna kibao nataka kusoma next year,count on me.
 
Kwanza hongera kwa kuwaza kijasiria mali.

Pili, hakuna biashara isiyo na changamoto otherwise kila mtu angekuwa tajiri. Tofauti kati ya maskini na matajiri ni matajiri kuhimili changamoto. Jitume mkuu.

Tatu, changamoto ya kwanza ni wewe kutofahamika maana hujajieleza vya kutosha.Wewe ni nani na jamii inakujua. Kwamba wanakujua au la si hoja. Biashara unaweza ila ukijulikana let say mwl wa Chuo x unakuwa na faida zaidi kuliko anayeanza - japo mwisho wa siku wote mtafanikiwa.

Nne, training inatakiwa wewe mwenyewe uwe na mvuto. Kuwa na mvuto siyo sura. Lazima uwe msomaji wa vitabu vingi sana. Ile taarifa zako ndo mvuto. Kisha ndo unawatafuta wengine kujazia maeneo mengine ambayo wewe siyo mtaalam.

Tano, tafuta mshauri hata kama hana centa kama yako. Badilshana mawazo na watu wengi itakusaidia.

Mwisho, tafuta kitbu kinaitwa rich dad poor dad, itakufanya ukaze mwendo. Ajira siyo deal siku hizo.
kila la kheri.
 
Kwanza hongera kwa kuwaza kijasiria mali.

Pili, hakuna biashara isiyo na changamoto otherwise kila mtu angekuwa tajiri. Tofauti kati ya maskini na matajiri ni matajiri kuhimili changamoto. Jitume mkuu.

Tatu, changamoto ya kwanza ni wewe kutofahamika maana hujajieleza vya kutosha.Wewe ni nani na jamii inakujua. Kwamba wanakujua au la si hoja. Biashara unaweza ila ukijulikana let say mwl wa Chuo x unakuwa na faida zaidi kuliko anayeanza - japo mwisho wa siku wote mtafanikiwa.

Nne, training inatakiwa wewe mwenyewe uwe na mvuto. Kuwa na mvuto siyo sura. Lazima uwe msomaji wa vitabu vingi sana. Ile taarifa zako ndo mvuto. Kisha ndo unawatafuta wengine kujazia maeneo mengine ambayo wewe siyo mtaalam.

Tano,
tafuta mshauri hata kama hana centa kama yako. Badilshana mawazo na watu wengi itakusaidia.

Mwisho, tafuta kitbu kinaitwa rich dad poor dad, itakufanya ukaze mwendo. Ajira siyo deal siku hizo.
kila la kheri.

Hapo kwenye red - mimi nilitafuta mshauri - baada ya kumwelezea issue yote - akaomba downpayment kidogo ya kunishauri - nilipompa tu AKAPOTEA NA MBAYA ZAIDI - AKAENDA KUANZISHA BIASHARA HIYO HIYO NILIYOMWELEZA
AWE MWANGALIFU TU AINA YA MSHAURI.
 
Idea embezzlement... inghariimu sana watanganyika...!!!
 
Hongera sana kwa mawazo mazuri. Naomba wanajamvi tumsaidie kwa kumwelekeza afanye nini ili aweze anza hiyo Training Centre. Kwa mfano je, inabidi aiandikishe? Kama ni kuiandikisha, katika mamlaka ipi? Anahitaji kiasi gani kama mtaji wake ili aanze vizuri? Pole ila mwanzo mzuri.

Asanteni.:smiling:
 
Hapo kwenye red - mimi nilitafuta mshauri - baada ya kumwelezea issue yote - akaomba downpayment kidogo ya kunishauri - nilipompa tu AKAPOTEA NA MBAYA ZAIDI - AKAENDA KUANZISHA BIASHARA HIYO HIYO NILIYOMWELEZA
AWE MWANGALIFU TU AINA YA MSHAURI.

atafute professional consultant sasa. pole sana.
 
kijana! una mpango wa kufundisha kozi zipi? jengo/ofisi ni la kukodi ama? umejipangaje kuhusu staffs, watakua full time au part time?
nikimaliza kukapelekea moto haka ka house girl nitarudi...
 
Back
Top Bottom