Nataka kuanzisha taasisi ya kimataifa ya kuwasiaida mashoga na wasagaji kuurudia ubinadamu wao. Ushauri wakuu

Ukiwasaidia wakapona utakuwa umewapoteza kabisa.
yaank dunia au taifa linakuwa limepotelewa na kizazi shoga.
mkuu mbona kiswahili cha kawaida tu mkuu.
kwanza kabisa mtazamo wako ni hasi sana, hakuna msaada huo unaoweza kuwapa maana uwaonavyo ndivyo walivyo hawawezi kubadilika, na unaposema taifa litakuwa limeondokewa na kizazi chao unamaanisha nini!! ilhali wao huzaliwa na straight people
 
Unataka kukosana na Tundu Lissu?
mkuu kwani hawa jamaa ni wadau wa antipas? mimi najua huyu mpambanaji lzm anipige tafu kwenye hizi haraksti. ukizingstia sasa hivi hana majukumu sana maana ubunge kaishakwapuliwa akiwa kitanda cha mauti.
 
wakorofi sana huko ulaya. wanalindwa kama faru joni huku bongo.
Nakumbuka hata man Pacquiao aliwahi kunyimwa huduma Suoermarket kisa tu alipinga mashoga.

Sasa Unadhani kama udhaifu unakingiwa kifua duniani nzima kazi hii ni ndogo?
Kwanza ni vizuri washawishiwe kujua hili ni ili kuwasaidia iwe rahisi.
Wengi waliosaidiwa wameishia kujiua, kwa njia hii unaweza kupunguza idadi yao, ila sio kwa kuwabadili fikra na mienendo yao.
 
hawakuchagua kuwa mashoga wala wasagaji, ni jinsi walivyo, na wala sio tatizo la akili ni identity na romantic attraction tu ziko tofaut na watu wengine,

walikuwepo wapo na wataendelea kuwepo, tuache kuwabagua na wao wajikubali walivyo maisha yaendelee
We utakuwa mmoja wao tasisi ikianza uje upewe huduma
 
nakwambia dunia nzima inaweza kuhamia geto kwangu kunishughulikia hata kama siwaui.
ntajaribu. Tatizo mafadhili mengi ni hayohayo majamaa.
Hii kazi ni Ngumu ngoja niendelee kukusanya maoni
Ni ngumu ila inawezekana. Kufanya utafiti wa kutosha kuonyesha kuwa hilo ni gonjwa hatari. Ni ugonjwa wa akili ambao hawataki kuukubali.
 
acha kuwapaisha machoko una ushahidi?
Siyo kuwa nawapaisha nope, ndiyo ukweli wenyewe, Trump anaweza kuwa na maamuzi magumu ya kuishambulia Iran kijeshi lakini hana ujasiri hata robo ya ku type kwenye twitter tu kupiga marufuku Ushoga Marekani..... Hatachukua a second hajan'golewa pale nyumba nyeupe....
 
Siyo kuwa nawapaisha nope, ndiyo ukweli wenyewe, Trump anaweza kuwa na maamuzi magumu ya kuishambulia Iran kijeshi lakini hana ujasiri hata robo ya ku type kwenye twitter tu kupiga marufuku Ushoga Marekani..... Hatachukua a second hajan'golewa pale nyumba nyeupe....
kwa hiyo mkuu dunia iko mikononi mwa hawa mabwana.
mkuu ikiwa hivyo ntasikitika maana sioni hata Sponsor wa kuniunga mkono dunia itatutumbua
 
Wengi waliosaidiwa wameishia kujiua, kwa njia hii unaweza kupunguza idadi yao, ila sio kwa kuwabadili fikra na mienendo yao.
mkuu hawa mabwana ni vichwa sugu kiasi hicho.
Mbona watu wanaacha madawa ya kulevya, hii kitu inasumu gani kali hivyo mkuu
 
Nitajitolea kutoa ushauri nasaha. Naomba hiyo nafasi. (Free of charge)
mkuu ntakutafuta.
hii huduma ntaanza kuitoa hapahapa jf kwa njia ya PM. Safari moja huanzisha nyingine.
Umeshakula Cheo: LGBT eradicating Specialist
 
hitler muuaji mimi natumia saikolojia tu. maana wale shida yao ni akili na mindset sio dna
kakeambia nani kuwa ushoga ni tatizo la kisaikolojia?? wale hawana tatizo la kisaikolojia ila kuwabagua ndio kunawapelekea wawe na matatizo ya kisaikolojia
 
mkuu hawa mabwana ni vichwa sugu kiasi hicho.
Mbona watu wanaacha madawa ya kulevya, hii kitu inasumu gani kali hivyo mkuu
madawa ya kulevya inatokana na substance abuse, matumizi ya kemikali, sasa ushoga sio kitu kinachotakana na substance abuse, ni natural feelings tu ambazo wanazo
 
We utakuwa mmoja wao tasisi ikianza uje upewe huduma
ndio tatizo la watu waliokosa uelewa mtu akifafanua jambo toka mlengo wa uelewa mnakimbilia kufanya personal attacks, unaposema "wewe utakuwa mmoja wapo" unaexpect kwamba mtu asiyekuwa shoga hawezi kuja kuelewa kuwa mashoga wapo walivyo kwasababu wako hivyo na kwamba hawana kasoro ila tu wako tofauti, unafanya personal attacks ili watu wenye mtazamo kama wangu tusiongee, mnataka uzi kama huu ukiwekwa komenti zote ziwe za kusigina na kukandamiza watu walio tofauti na wengine, halafu mnataka muitwe great thinkers, great thinkers gani wasioruhusu watu wenye mtazamo tofauti wawaambie ukweli tofauti wawaujuwao wao
 
hitler muuaji mimi natumia saikolojia tu. maana wale shida yao ni akili na mindset sio dna
uuaji unaanza na kuona wengine hawafai uwepo wao, ndipo alipoanzia hitler kwa kuona binadamu fulani fulani hawafai uwepo wao, na wewe ndio ushaanza unaona binadamu fulani fulani hawafai uwepo wao, ndipo wabaguzi wa rangi walipoanzia huko south africa na marekani kuona watu fulani fulani hawafai uwepo wao.
 
kuna jamaa mmoja nimemuona facebook anajitangaza kuwa ni shoga,kwa kweli dunia imeisha hii.
 
Back
Top Bottom