Nataka kuanzisha taasisi ya kimataifa ya kuwasiaida mashoga na wasagaji kuurudia ubinadamu wao. Ushauri wakuu

Ni maajabu mwanadamu mwenye akili timamu anapanga kuua wanadamu wenzie!

Cha ajabu zaidi mtoto wako mwenyewe wa kuzaa ni shoga,utamuua?

Cha ajabu zaidi na zaidi huyu Bwana Matunduizi ni mwana CCM kindakindaki!

Nimkute shoga anafanya chochote napita kama simuoni,mwili ni wake haunihusu!As long as they keep their agenda away from my kids!

Siwezi ua mwanadamu yeyote kwa kosa lolote!
hakuna anayemuua shoga mkuu acha uzushi.
kwa nini umuue kiumbe wa Mungu.
Wanaopinga ushoga kwa kuwaua nao sio wanadamu wanatakiwa kuanzishiwa asasi yao nao wasaidiwe.
Hapa namaanisha njia ya amani ya kuwafanya mashoga wawe wanaume halisi.
Naamininhakuna aliyezaliwa shoga au aliyezaliwa mzinzi.

kama zipo taasisi za kuupigia chepuo.
taasisi za kuwalinda ili waendelee kustawi.
sio mbaya ikiwepo ya kuwarudisha katika hali yao ya ubinadamu wa asili kww njia ya amani
 
Kwanini unataka kuwapa promo? Hao wapo jinsi walivyo, labda uwaue tu.
Sio promo mkuu.
mbona mateja wanasaidiwa.
walemavu wanasaidiwa.

ushoga na mimi naona kama ulemavu ambao unatetewa badala ya kusaidiwa ili warudi katika uninadamu wao.
ni ujinga tundu la kunyea ulifanye kifaa cha uzazi.
huu ni ulemavu wa kiwango cha sgr
 
TATIZO NI KWAMBA HAO UNAOTAKA KUWATETEA NA KUWASAIDIA NDO WATAKAOKUPINGA ,KUKUKWAMISHA NA NDO WATAKUWA ADUI ZAKO.
nakwambia dunia nzima inaweza kuhamia geto kwangu kunishughulikia hata kama siwaui.
ntajaribu. Tatizo mafadhili mengi ni hayohayo majamaa.
Hii kazi ni Ngumu ngoja niendelee kukusanya maoni
 
hakuna anayemuua shoga mkuu acha uzushi.
kwa nini umuue kiumbe wa Mungu.
Wanaopinga ushoga kwa kuwaua nao sio wanadamu wanatakiwa kuanzishiwa asasi yao nao wasaidiwe.
Hapa namaanisha njia ya amani ya kuwafanya mashoga wawe wanaume halisi.
Naamininhakuna aliyezaliwa shoga au aliyezaliwa mzinzi.

kama zipo taasisi za kuupigia chepuo.
taasisi za kuwalinda ili waendelee kustawi.
sio mbaya ikiwepo ya kuwarudisha katika hali yao ya ubinadamu wa asili kww njia ya amani

Kuwapoteza duniani maana yake ni nini?

Sijui mawazo ya kuua au kupoteza wanadamu wengine sijui mnayapatia wapi?

Mimi naona kama mna solution humane ya kuwasaidia muwatibu kama wagonjwa mpaka wawe wazima then hapo mtakua mnafanya la maana!
 
Ukiwasaidia wakapona utakuwa umewapoteza kabisa.
yaank dunia au taifa linakuwa limepotelewa na kizazi shoga.
mkuu mbona kiswahili cha kawaida tu mkuu.
 
“Kuwapoteza” ndio “kuwatibu”???

Mzee Kiswahili changu kibovu ila chako kipo another level garbage!

Ndio maana nimeona thread yako moja umeandika “Malais” badala ya “Marais”...

Ndio maana tunafeli sana!
 
asante kwa maoni duni
 
Hawa mabingwa huwa nawaonea huruma sana.
Nataka kupingana na Dunia na kuanzisha chama cha wazi na siri kuwasaidia hawa jamaa wafutike kabisa duniani na warudi katika ubinadamu wao wa asili.

wakuu ntatoboa kweli, au maji yameshamwagika hayazoleki
Kwa wazo la kuanzisha hii TAASISI ni lazima na wewe uwe SHOGA. shoga na shoga wanaongea lugha moja.
 
wewe ndio unaleta tatizo, kwasababu wao wapo hivyo kwasababu ndivyo walivyo,

inawezekana ukaona kuwa wamepoteza utu wao,

ila kiukweli jinsi walivyo ndivyo walivyo, hawawezi kubadilika, ingekuwa wanaweza kubadilika wasingekuwa kuwa hivyo walivyo.

hivi unadhani nani anapenda kuishi maisha ya kutukanwa kubaguliwa na kuogopa kuwa wazi kwa jinsi alivyo!!

hao wanatakiwa wajikubali jinsi walivyo kuwa wao ni mashoga na wasagaji, wakiishi kwa kutokujikubali kutawapa matatizo ya kisaikolojia
hawakuchagua kuwa mashoga wala wasagaji, ni jinsi walivyo, na wala sio tatizo la akili ni identity na romantic attraction tu ziko tofaut na watu wengine,

walikuwepo wapo na wataendelea kuwepo, tuache kuwabagua na wao wajikubali walivyo maisha yaendelee
Kuna walakini hapa!
🏃‍♀️ 🏃‍♀️ 🏃‍♀️ 🏃‍♀️ 🏃‍♀️ 🏃‍♀️ 🏃‍♀️ 🏃‍♀️ 🏃‍♀️ 🏃‍♀️ 🏃‍♀️ 🏃‍♀️ 🏃‍♀️
 
Huwezi kupambana na Ushoga tena wakikusikia hutachukua masaa 24 ya kusurvave.... Ushoga kimataifa ni watu wazito wenye kumiliki mataasisi makubwa ya hela, fikiria unapambana na mashoga wenye kumiliki karibu 95% midea zote kubwa dunia.. Kiufupi mashoga ndiyo wanao i run dunia....

Bado hadi sasa hivi sijaweza kuamini kama ushoga una exist in real life.... Jaribu kuvuta picha unamdaka njemba unainamisha hahahaha big no
 
Hawa mabingwa huwa nawaonea huruma sana.
Nataka kupingana na Dunia na kuanzisha chama cha wazi na siri kuwasaidia hawa jamaa wafutike kabisa duniani na warudi katika ubinadamu wao wa asili.

wakuu ntatoboa kweli, au maji yameshamwagika hayazoleki
Sema tu unataka kuwa mtetezi wao ila unapima upepo.
 
mkuu yaani nitete mgonjwa anayegeuza tundu lq kutolea uchafu kifaa cha starehe.
huu ni ujinga ambao unatakiwa usaidiwe japo wameshajijengea msingi wa chuma.
wanatakiwa kusaidiwa waurudie ubinadsmu wao. huu ni ulemavu mbovu kabisa aisee
 
Huwezi kupambana na Ushoga tena wakikusikia hutachukua masaa 24 ya kusurvave.... Ushoga kimataifa ni watu wazito wenye kumiliki mataasisi makubwa ya hela, fikiria unapambana na mashoga wenye kumiliki karibu 95% midea zote kubwa dunia.. Kiufupi mashoga ndiyo wanao i run dunia....

Bado hadi sasa hivi sijaweza kuamini kama ushoga una exist in real life.... Jaribu kuvuta picha unamdaka njemba unainamisha hahahaha big no
aisee hii kitu kumbe ni hatari hivi. shetani ashindwee!!!
 
Hawa mabingwa huwa nawaonea huruma sana.
Nataka kupingana na Dunia na kuanzisha chama cha wazi na siri kuwasaidia hawa jamaa wafutike kabisa duniani na warudi katika ubinadamu wao wa asili.

wakuu ntatoboa kweli, au maji yameshamwagika hayazoleki
Unataka kukosana na Tundu Lissu?
 
Huwezi kupambana na Ushoga tena wakikusikia hutachukua masaa 24 ya kusurvave.... Ushoga kimataifa ni watu wazito wenye kumiliki mataasisi makubwa ya hela, fikiria unapambana na mashoga wenye kumiliki karibu 95% midea zote kubwa dunia.. Kiufupi mashoga ndiyo wanao i run dunia....

Bado hadi sasa hivi sijaweza kuamini kama ushoga una exist in real life.... Jaribu kuvuta picha unamdaka njemba unainamisha hahahaha big no
acha kuwapaisha machoko una ushahidi?
 
Angalia mleta mada usije nawe ukaangukia mikononi mwa wala jicho,ukawa nawe unaliwa kiboga.!
Kamwe huwezi shinda wazo lako ni nature ya binadamu kufanya mambo kinyume nyume.
Hiyo ni sawa kumuonea huruma Swala asiliwe na Simba.
 
Hawa mabingwa huwa nawaonea huruma sana.
Nataka kupingana na Dunia na kuanzisha chama cha wazi na siri kuwasaidia hawa jamaa wafutike kabisa duniani na warudi katika ubinadamu wao wa asili.

wakuu ntatoboa kweli, au maji yameshamwagika hayazoleki
Matunduizi, huwezi amini kuwa Na wao wanakuona na kukushangaa kuwa wewe si shoga/msagaji kama unayoushangaa kuwa ni ushoga/usagaji
 
Back
Top Bottom