Nataka kuanzisha taasisi ya kimataifa ya kuwasiaida mashoga na wasagaji kuurudia ubinadamu wao. Ushauri wakuu

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
2,913
2,000
Hawa mabingwa huwa nawaonea huruma sana.
Nataka kupingana na Dunia na kuanzisha chama cha wazi na siri kuwasaidia hawa jamaa wafutike kabisa duniani na warudi katika ubinadamu wao wa asili.

wakuu ntatoboa kweli, au maji yameshamwagika hayazoleki
 
Amanijua

JF-Expert Member
Mar 7, 2014
1,679
2,000
Fafanua mkuu
Hawa mabingwa huwa nawaonea huruma sana.
Nataka kupingana na Dunia na kuanzisha chama cha wazi na siri kuwasaidia hawa jamaa wafutike kabisa duniani na warudi katika ubinadamu wao wa asili.

wakuu ntatoboa kweli, au maji yameshamwagika hayazoleki
 
nasrimgambo

JF-Expert Member
Jan 10, 2017
811
1,000
wewe ndio unaleta tatizo, kwasababu wao wapo hivyo kwasababu ndivyo walivyo,

inawezekana ukaona kuwa wamepoteza utu wao,

ila kiukweli jinsi walivyo ndivyo walivyo, hawawezi kubadilika, ingekuwa wanaweza kubadilika wasingekuwa kuwa hivyo walivyo.

hivi unadhani nani anapenda kuishi maisha ya kutukanwa kubaguliwa na kuogopa kuwa wazi kwa jinsi alivyo!!

hao wanatakiwa wajikubali jinsi walivyo kuwa wao ni mashoga na wasagaji, wakiishi kwa kutokujikubali kutawapa matatizo ya kisaikolojia

hawakuchagua kuwa mashoga wala wasagaji, ni jinsi walivyo, na wala sio tatizo la akili ni identity na romantic attraction tu ziko tofaut na watu wengine,

walikuwepo wapo na wataendelea kuwepo, tuache kuwabagua na wao wajikubali walivyo maisha yaendelee
 
wakorofi sana huko ulaya. wanalindwa kama faru joni huku bongo.
Nakumbuka hata man Pacquiao aliwahi kunyimwa huduma Suoermarket kisa tu alipinga mashoga.

Sasa Unadhani kama udhaifu unakingiwa kifua duniani nzima kazi hii ni ndogo?
Kwanza ni vizuri washawishiwe kujua hili ni ili kuwasaidia iwe rahisi.
 
kamituga

JF-Expert Member
May 31, 2019
977
1,000
Pingana na maandiko sasa (nyakati za mwisho zitakua km zama za sodoma na gomora) km uamin km kuna mwisho shaur yako jiulize mwanzo ulikujaje bila mwisho.
 
kofuli

JF-Expert Member
Feb 9, 2019
515
1,000
IMG_20190708_192025_464.jpeg
 
mbudunge

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
1,635
2,000
hawakuchagua kuwa mashoga wala wasagaji, ni jinsi walivyo, na wala sio tatizo la akili ni identity na romantic attraction tu ziko tofaut na watu wengine,

walikuwepo wapo na wataendelea kuwepo, tuache kuwabagua na wao wajikubali walivyo maisha yaendelee
Mmh
 
Statesmann

JF-Expert Member
Jul 16, 2019
2,365
2,000
wakorofi sana huko ulaya. wanalindwa kama faru joni huku bongo.
Nakumbuka hata man Pacquiao aliwahi kunyimwa huduma Suoermarket kisa tu alipinga mashoga.

Sasa Unadhani kama udhaifu unakingiwa kifua duniani nzima kazi hii ni ndogo?
Kwanza ni vizuri washawishiwe kujua hili ni ili kuwasaidia iwe rahisi.
mkuu angalia badala kuwatibu ukageuka mtetezi na mlaji wa bidhaa haramu
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
9,534
2,000
Hawa mabingwa huwa nawaonea huruma sana.
Nataka kupingana na Dunia na kuanzisha chama cha wazi na siri kuwasaidia hawa jamaa wafutike kabisa duniani na warudi katika ubinadamu wao wa asili.

wakuu ntatoboa kweli, au maji yameshamwagika hayazoleki

Ni maajabu mwanadamu mwenye akili timamu anapanga kuua wanadamu wenzie!

Cha ajabu zaidi mtoto wako mwenyewe wa kuzaa ni shoga,utamuua?

Cha ajabu zaidi na zaidi huyu Bwana Matunduizi ni mwana CCM kindakindaki!

Nimkute shoga anafanya chochote napita kama simuoni,mwili ni wake haunihusu!As long as they keep their agenda away from my kids!

Siwezi ua mwanadamu yeyote kwa kosa lolote!
 
chongoe

JF-Expert Member
Mar 22, 2019
556
1,000
We jamaa sio bure
hawakuchagua kuwa mashoga wala wasagaji, ni jinsi walivyo, na wala sio tatizo la akili ni identity na romantic attraction tu ziko tofaut na watu wengine,

walikuwepo wapo na wataendelea kuwepo, tuache kuwabagua na wao wajikubali walivyo maisha yaendelee
 
Kimwerymdodo5

JF-Expert Member
Mar 12, 2019
1,516
2,000
Kama
Ni maajabu mwanadamu mwenye akili timamu anapanga kuua wanadamu wenzie!

Cha ajabu zaidi mtoto wako mwenyewe wa kuzaa ni shoga,utamuua?

Cha ajabu zaidi na zaidi huyu Bwana Matunduizi ni mwana CCM kindakindaki!

Nimkute shoga anafanya chochote napita kama simuoni,mwili ni wake haunihusu!As long as they keep their agenda away from my kids!

Siwezi ua mwanadamu yeyote kwa kosa lolote!
Kama hujaelewa vilee!🤔
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom