• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Nataka kuanzisha shamba la korosho 32 acres

fungafunga

fungafunga

Member
Joined
Mar 30, 2010
Messages
80
Points
125
fungafunga

fungafunga

Member
Joined Mar 30, 2010
80 125
Wana jamvi,

Nataka kuanzisha shamba la korosho la ukubwa wa 32 acres! Naomba wenye utaalaam na kilomo hiki wanijuze juu ya hatua muhimu za kuzingatia tukianzia na kusafisha shamba kwani kwa sasa ni msitu kabisa ambao haujawai limwa chochote.

Pili garama mbali mbali kwa kila hatua na any other information ambayo unadhani itanisaidia!

Natanguliza shukrani.
 
PatriceLumumba

PatriceLumumba

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Messages
411
Points
1,000
PatriceLumumba

PatriceLumumba

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2016
411 1,000
HABARI,
"fungafunga,

Ndugu Hongera Tena kwa kuwa na kiasi hicho cha shamba kwani kama ukifanikiwa kupanda shamba lote unauhakika wa kuwa na miti sio chini ya elfu 3 ambacho ni kiasi kikubwa sana kwa kuanzia.
Nakushauri upande mikorosho iliyo bebeshwa kwani unaweza kupanda idadi kubwa kwenye shamba dogo pia inauvumilivu mkubwa wa magonjwa na inatoa mazao mapema.

Kwa kuandaa shamba ukisha safisha nivema kama mengi ni majani itakuwa vema kama ukiyachoma moto huwa inasaidia kuangamiza magojwa mbalimbali yaliyokuwa kwenye mimea hiyo ya mwanzo.

Umbali kati ya shimo na shimo unaweza kuweka kati ya mita 5-6 na umbali kati ya mstari unaweza kuweka mita 6-7,
kwa vipimo hivyo unaweza kuwa na mashimo 100-120 kwa heka moja.

Na uchimbaji wa mashimo unaweza kuchimba sentimeta 50 kwenda chini na upana wa sentimeta 50,Ni vema udongo wa juu nusu ya shimo yani sentimeta 25 ukautenga na ule wa chini wa sentimeta 25,Huu udongo wa juu utautumia kuchanganya na mbolea ya samadi wakati wa kupanda mmea.

Inashauriwa kupanda mmea wakati wa mvua na kabla ya kupanda changanya ule udongo na mbolea na kuacha kwa wiki mbili ili kuwezesha samadi kuchanganyika vizuri na udongo ndipo upande mmea.

Wakati wa kupanda unashauriwa kuweka ule udongo uliochanganya na samadi ujae robo ya shimo ndipo upande mmea wako na na wakati wa kufukia fukia nusu ya shimo kwa utaratibu huo utakuwa umefukia shimo lako na mmea kwa robotatu hiyo itasaidia kuacha eneo la maji kutuama wakati wa mvua au wakati wa kumwagilia na pia mmea kupumua vizuri,

Hii nimekupa picha kidogo juu ya maandalizi hayo ila nakushauri nenda Kituo cha naliendele Nimeweka post zake kadhaa hapa na anuani zake pale utapata maelekezo mengi juu ya magojwa na tiba zake kwakuwa mradi wako unaonekana ni mkubwa huna budi kufika pale.

Contact
Zonal Director (South),
Naliendele Agricultural Research Institute (NARI),
10 Newala Road, P. O. Box 509, Mtwara.
Tel.: +255 732 934 035
Fax.: +255 732 934 103
e-mail: utafiti@iwayafrica.com


LUMUMBA
 
PatriceLumumba

PatriceLumumba

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Messages
411
Points
1,000
PatriceLumumba

PatriceLumumba

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2016
411 1,000
Nakushukuru sana Lumumba! MUNGU atupe uzima safari ianze.
HABARI,
"fungafunga,

Amen,Usirudi nyuma hata kama ukikutana na shauri nyingine mamuzi yako ni yako ni heri kufeli kwa maamuzi yako kwa kuwa utajifunza ila sio ya mwingine songa mbele,Samahani sikukuuliza shamba lako liko wapi.

LUMUMBA
 
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
16,357
Points
2,000
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
16,357 2,000
HABARI,
"fungafunga,

Ndugu Hongera Tena kwa kuwa na kiasi hicho cha shamba kwani kama ukifanikiwa kupanda shamba lote unauhakika wa kuwa na miti sio chini ya elfu 3 ambacho ni kiasi kikubwa sana kwa kuanzia.
Nakushauri upande mikorosho iliyo bebeshwa kwani unaweza kupanda idadi kubwa kwenye shamba dogo pia inauvumilivu mkubwa wa magonjwa na inatoa mazao mapema.

Kwa kuandaa shamba ukisha safisha nivema kama mengi ni majani itakuwa vema kama ukiyachoma moto huwa inasaidia kuangamiza magojwa mbalimbali yaliyokuwa kwenye mimea hiyo ya mwanzo.

Umbali kati ya shimo na shimo unaweza kuweka kati ya mita 5-6 na umbali kati ya mstari unaweza kuweka mita 6-7,
kwa vipimo hivyo unaweza kuwa na mashimo 100-120 kwa heka moja.

Na uchimbaji wa mashimo unaweza kuchimba sentimeta 50 kwenda chini na upana wa sentimeta 50,Ni vema udongo wa juu nusu ya shimo yani sentimeta 25 ukautenga na ule wa chini wa sentimeta 25,Huu udongo wa juu utautumia kuchanganya na mbolea ya samadi wakati wa kupanda mmea.

Inashauriwa kupanda mmea wakati wa mvua na kabla ya kupanda changanya ule udongo na mbolea na kuacha kwa wiki mbili ili kuwezesha samadi kuchanganyika vizuri na udongo ndipo upande mmea.

Wakati wa kupanda unashauriwa kuweka ule udongo uliochanganya na samadi ujae robo ya shimo ndipo upande mmea wako na na wakati wa kufukia fukia nusu ya shimo kwa utaratibu huo utakuwa umefukia shimo lako na mmea kwa robotatu hiyo itasaidia kuacha eneo la maji kutuama wakati wa mvua au wakati wa kumwagilia na pia mmea kupumua vizuri,

Hii nimekupa picha kidogo juu ya maandalizi hayo ila nakushauri nenda Kituo cha naliendele Nimeweka post zake kadhaa hapa na anuani zake pale utapata maelekezo mengi juu ya magojwa na tiba zake kwakuwa mradi wako unaonekana ni mkubwa huna budi kufika pale.

Contact
Zonal Director (South),
Naliendele Agricultural Research Institute (NARI),
10 Newala Road, P. O. Box 509, Mtwara.
Tel.: +255 732 934 035
Fax.: +255 732 934 103
e-mail: utafiti@iwayafrica.com


LUMUMBA
Ubarikiwe sana mkuu.
 
PatriceLumumba

PatriceLumumba

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Messages
411
Points
1,000
PatriceLumumba

PatriceLumumba

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2016
411 1,000
Umbali kati ya Shimo na Shimo ni 12M .Eka moja wastani miti 30
HABARI,
"mahavanga,
Hujakosea kwa kipimo chako hicho nakubaliana na wewe kabisa hata ukitaka miti 20 kwa heka inawezekana ,Kama umefatilia post zangu zote nilieleza vema, Kama mkulima anafanya kilimo cha mchanganyiko na mazao mengine kama mahindi,mtama,ufuta alizeti n.k ni sawa ila kama ni zao la korosho tu ni matumizi mabaya sana ya aridhi sana mita 12 duh.Ndugu mikorosho ya kubebeshwa na ya kisasa huwa haitanuki sana nitatuna picha moja kutoka mahali mkorosho wa miaka 10 haujazidi mita 3 upana kwa kila upande na kila mwaka wanavuna zaidi ya kilo 20 kwa mti mmoja hapo ndani ya mita 12 zako umeacha mikorosho miwili inayoweza kupandwa.

Hapo kati na bado ungeweza kupanda mazao mafupi kama maharage N.K.Unaweza kupanda idadi kubwa ya miti kwenye heka moja baada ya mika 10 na kuendelea inapozidi kubanana ndipo unapunguza mmoja mmoja ila tayari mti unakuwa umeshakupa mavuno kwa zaidi ya miaka 10 haingii akilini uwache eneo wazi kusubiri miaka 20 ibanane Duh Tusipende kukariri lazima tujiongeze tufate maelekezo ya pembejeo ila kuna mambo mengine lazima kujiongeza,India kati ya nchi zinazoongoza kwenye kilimo hicho kwa heka moja wanapanda mpaka miti 150-200 sasa wewe ndugu ukisema miti 30 Tusibweteke na aridhi tuliyokuwanayo tuangalie kuwekeza sehemu ndogo unavuna kikubwa.TEKNOLOGIA.TECHNOLOGY

LUMUMBA
 
fungafunga

fungafunga

Member
Joined
Mar 30, 2010
Messages
80
Points
125
fungafunga

fungafunga

Member
Joined Mar 30, 2010
80 125
HABARI,
"mahavanga,
Hujakosea kwa kipimo chako hicho nakubaliana na wewe kabisa hata ukitaka miti 20 kwa heka inawezekana ,Kama umefatilia post zangu zote nilieleza vema,Kama mkulima anafanya kilimo cha mchanganyiko na mazao mengine kama mahindi,mtama,ufuta alizeti n.k ni sawa ila kama ni zao la korosho tu ni matumizi mabaya sana ya aridhi sana mita 12 duh.Ndugu mikorosho ya kubebeshwa na ya kisasa huwa haitanuki sana nitatuna picha moja kutoka mahali mkorosho wa miaka 10 haujazidi mita 3 upana kwa kila upande na kila mwaka wanavuna zaidi ya kilo 20 kwa mti mmoja hapo ndani ya mita 12 zako umeacha mikorosho miwili inayoweza kupandwa Hapo kati na bado ungeweza kupanda mazao mafupi kama maharage N.K.Unaweza kupanda idadi kubwa ya miti kwenye heka moja baada ya mika 10 na kuendelea inapozidi kubanana ndipo unapunguza mmoja mmoja ila tayari mti unakuwa umeshakupa mavuno kwa zaidi ya miaka 10 haingii akilini uwache eneo wazi kusubiri miaka 20 ibanane Duh Tusipende kukariri lazima tujiongeze tufate maelekezo ya pembejeo ila kuna mambo mengine lazima kujiongeza,India kati ya nchi zinazoongoza kwenye kilimo hicho kwa heka moja wanapanda mpaka miti 150-200 sasa wewe ndugu ukisema miti 30 Tusibweteke na aridhi tuliyokuwanayo tuangalie kuwekeza sehemu ndogo unavuna kikubwa.TEKNOLOGIA.TECHNOLOGY

LUMUMBA
Lumumba nakuelewa sana aise! Naandaa maswali yangu 12 yakuuliza kesho! Naamini utanipa majibu yenye ujazo
Ubarikiwe sana aise..
 
chuma cha mjerumani

chuma cha mjerumani

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2013
Messages
7,790
Points
2,000
chuma cha mjerumani

chuma cha mjerumani

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2013
7,790 2,000
Lumumba ungeweka na garama kwa heka mpka kuvuna ungekuwa poa.
 
F

Faza1980

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
531
Points
1,000
F

Faza1980

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
531 1,000
Asante Lumumba, kila mtu niliekuwa namconsult alinipa hesabu ya miche 28 hadi 30 kwa ekari, hadi nikapata shamba la ekari 4 hapo mtwara nikapiga hesabu zangu nikaona ni dogo sana kwani nitavuna kiasi kidogo cha korosho.

Ningekuwa nimepata majibu kama haya na maelezo yaliyoshiba i would have decided otherwise.. Nimeshangaa kuona inaweza kufika miche zaidi ya 3000 kwenye hizo ekari kumbe kwa maelezo niliyokuwa nayo mwanzo hapo hata miche 1000 haingeingia shambani...
asante sana
 
PatriceLumumba

PatriceLumumba

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Messages
411
Points
1,000
PatriceLumumba

PatriceLumumba

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2016
411 1,000
Lumumba nakuelewa sana aise! Naandaa maswali yangu 12 yakuuliza kesho! Naamini utanipa majibu yenye ujazo
Ubarikiwe sana aise..
HABARI,
"fungafunga,
Karibu sana na maswali yako Mkuu najua mwenyezi mungu ataniongoza nikupe majibu kwa maswali yote.
Karibu "fungafunga,

LUMUMBA
 
PatriceLumumba

PatriceLumumba

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Messages
411
Points
1,000
PatriceLumumba

PatriceLumumba

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2016
411 1,000
Asante Lumumba, kila mtu niliekuwa namconsult alinipa hesabu ya miche 28 hadi 30 kwa ekari, hadi nikapata shamba la ekari 4 hapo mtwara nikapiga hesabu zangu nikaona ni dogo sana kwani nitavuna kiasi kidogo cha korosho.. Ningekuwa nimepata majibu kama haya na maelezo yaliyoshiba i would have decided otherwise.. Nimeshangaa kuona inaweza kufika miche zaidi ya 3000 kwenye hizo ekari kumbe kwa maelezo niliyokuwa nayo mwanzo hapo hata miche 1000 haingeingia shambani...
asante sana
HABARI,
"Faza1980,
Unajua ule msemo unaosema kwenye miti hakuna wajenzi unaendana na haya mambo kwa kuwa tunaaridhi basi tunabweteka kuichezea kuna jamaa alisema hapa eti mita 12 kwa kila mti na mti nikashangaa sana wakati kwa heka ya mita 70 kwa 70 huwezi kupanda chini ya mikorosho 100 india wanapanda mpaka mikorosho 150-200 kwa heka na wanavuna wewe hujachelewa hakuna kuchelewa Duniani mpaka umeingia kaburini chukua maamuzi sasa tena maamuzi sahihi..

LUMUMBA
 
daudthefarmer

daudthefarmer

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2016
Messages
5,421
Points
2,000
daudthefarmer

daudthefarmer

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2016
5,421 2,000
Nimependa hapo uliposema

Duniani hakuna kuchelewa hadi unaingia kaburini..nami naongezea "utakachokifanya hapa duniani siyo lazima ukifaidi wanaweza kufaidi Hata wanao"
kuna watu wana wivu hadi kufanya kitu kwa manufaa ya watoto wake anaona kero!
 
daudthefarmer

daudthefarmer

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2016
Messages
5,421
Points
2,000
daudthefarmer

daudthefarmer

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2016
5,421 2,000
Wana jamvi! Nataka kuanzisha shamba la korosho la ukubwa wa 32 acres! Naomba wenye utaalaam na kilomo hiki wanijuze juu ya hatua muhimu za kuzingatia tukianzia na kusafisha shamba kwani kwa sasa ni msitu kabisa ambao haujawai limwa chochote!
Pili garama mbali mbali kwa kila hatua na any other information ambayo unadhani itanisaidia!
Natanguliza shukrani!

Habari ya leo mkuu...!
Hongera sana kwa kuwa na ardhi ya ukubwa huo.

napenda kukuongezea ujuzi wa faida kidogo juu ya matumizi bora ya ardhi kuhusu kilimo mseto, iko hivi kipindi unasubiri mikorosho yako ya kisasa(hybride) ianze kutoa matunda ili upate faida takribani miaka 3-5 jaribu kupanda mahindi kwa kipindi cha misimu miwili ya mwanzo kwa hilo eneo lako ili lisipotee bure na hii itapelekea kupata faida ya zao moja under zero cost of production.

(a) gharama za uzalishaji
-kulima ni bure kumbuka umelima kwa ajili ya korosho.
-mbegu ni mifuko 128 kila ekari ni mifuko 4 na kila mfuko ni 12,000/=(1,536,000/=)
-kupanda ekari moja maeneo mengi ni 30,000/=(960,000/=)
-palizi hapa ni ile itakayotumika kupalilia mikorosho(bure)
-sijaweka mbolea kwa sababu shamba kama ulivosema ni virgin.
Jumla ya gharama za uzalishaji/matumizi upande wa mahindi itakuwa ni Tshs 2,496,000/=

(b) mapato.
Ekari moja inatoa wastani wa gunia 8-10 chini ya uangalizi mzuri kwa mtu aliezamilia kama wewe,
Hivyo basi utapata magunia 256 kwa ekari 32.

mapato/mauzo kwa sasa ni 60,000/= kwa gunia (15,360,000/=)

utakuwa na faida ya 12,864,000/= kumbuka hii umelima msimu mmoja tu na nimesema ulime misimu miwili ya wawli maana mikorosho inakuwa bado ni michanga na itakuwa ni sehemu ya ulinzi wa shamba kwa mifugo na watu wanaokuzunguka hivyo. 12,864,000/=x misimu 2 (25,728,000/=).

Nakutakia kazi njema mkuu kwa haya maamuzi yako mazuri.
 

Forum statistics

Threads 1,404,957
Members 531,857
Posts 34,472,920
Top