Nataka kuanzisha ofisi ya insuarance za magari

laii

JF-Expert Member
Oct 10, 2016
834
1,060
Habari wanajamvi mimi ni mkazi wa hapa Dar Es Salaam, sina taaluma ya insuarance.
Nimefikiria biashara ya kufungua hapa Dar Es Salaam nikaona biashara ya insuarance za magari itanilipa,iwe broker au Agency.
Naomba mtu mwenye ujuzi kuhusu hii biashara anielekeze,kwanza tofauti ya insuarance broker na Agencya ,pili vitu vya kufuata (procedures) ili kufungua ofisi,Mtaji wa kila kimoja wapo, kuanzia registration mpaka kuanza biashara.
Nawasilisha,
Pm ruksaa
 
Well ukitaka kufungua insurance office, km upo DSM,nenda office za TIRA,Pale Kisutu watakupa maelekezo,kama uko mkoani unaeza ukaingia kwenye website yao,utapata maelekezo
 
Na inalipa sana ukiweza kufsnya marketing vizuri,km ni muajiriwa unaweza kuanza na watu wa oficn kwako,ukapata mvulana na msichana watakaokufanyia marketing kwenye maofisi,madreva tax,wenye magari,unaandaa na vipeperushi,mwanzoni hautapata faida sana,ila ukipata fixed customer at least 100,mzee umeukata,after few years you can shift to broker.
Insurance broker ukiwa mwenyewe office labda na wife,mkasimamia vizuri,hakika utaleta mrejesho hapa mzuri.
 
Pia ni vizuri kama hujasoma insurance, ukapiga short course ambayo ni miezi mitatu,wanatoa ifm,maana wanahitaji at least anaeoperate insurance awe na angalau certificate, kuliko kuajiri bora usome mwenyewe au msomeshe wife.
 
Back
Top Bottom