Mudhamil
Senior Member
- Nov 12, 2017
- 159
- 89
Habar wakuu Naomba ushauri wenu Nataka kuanzisha biashara ya kuuza pampers za watoto naomba kujua faida yake na changamoto zake kwa mkoa wa dar me nimepanga nitafute vijana kama 5 ivi halaf wawe wanatembeza mtaaan kwa bei nafuuu kidogo Naomba ushauri wenu tafadhal ni njia gani naweza kutumia nikanufaika na hii biashara.