Naomba msaada kuhusu biashara ya kuuza na Kubadilisha gesi

Wadau naomba msaada wenu nina mtaji kama wa milioni kumi 10k tsh,nimepata mawazo ya kuanzisha biasahara ya kuuza Gesi ya kupikia,lakini sijui nianze wapi sijui kama hii biashara ina tija kwaufupi sijui chochote kuhusu hii biashara

Sababu ya kutaka kuanza hii biashara naona kuwa mkaa umekuwa bei juu sana wakazi wengi wa Daresalam wanatumia Gesi kwa matumizi ya kupikia,akili yangu inanambia kama hii biasahara inaweza kunioa katika hali ngumu ya kimaisha...

Naomba msada wenu,asanteni
 
Mimi nafikiri ungeaza na kufanya saveyi na wanaouza ,kwamba wananunua kwa kiasi gana na wanauza kwa kiasi kisha ucheki faida yake.
 
Mimi nafikiri ungeaza na kufanya saveyi na wanaouza ,kwamba wananunua kwa kiasi gana na wanauza kwa kiasi kisha ucheki faida yake.
Hilo sio tatizo, shida iko kwa wafanyabiashara ukianza kuwauliza wanakuwa hawakupi majibu ya uhakika wanaogopa mashindano ya biashara
 
Naenda ofisi za oryx, mihan, lake oil n.k utapata maelekezo yote, wataingia mkataba na wewe ila lazima waje wakague eneo lako la biashara na pia Unatakiwa kula guía na fire ili wa jupe kibali cha kukuza gesi, biashara yako lazima iwe imesajiliwa na BRELA na Uwe umeme pia vibali vyote husika
 
Naenda ofisi za oryx, mi han, lake oil n.k utapata maelekezo yote, wataingia mkataba na wewe ila lazima waje wakague eneo lako la biashara na pia Unatakiwa kula guía na fire ili wa jupe kibali cha kukuza gesi, biashara yako lazima iwe imesajiliwa na BRELA na Uwe umeme pia vibali vyote husika
Mimi pia nna mawazo haya. Je, naweza kuuza gesi za kampuni zaidi ya moja?
 
biashara poa san mkuu kikubwa uwe na usafiri wa kusambaza ivi mwanza lugha nzuri na wateja, mwenyewe nina fremu sita za gas hapa dsm
Faida yake ipoje per mtungi, ile midogo na mikubwq.. Isije ikawa kama biashara ya mpesa..
 
Mimi nafikiri ungeaza na kufanya saveyi na wanaouza ,kwamba wananunua kwa kiasi gana na wanauza kwa kiasi kisha ucheki faida yake.
Gas ina faida kubwa mimi nilifanyia savey wakati ule Bigbon yuko msimbazi naskia kaacha,it was amazing in pricing,only that nilivyo ona upepo wa Magu nikakomalia mahali pa kuishi nikavuruga hiyo plan lakini it is amazing.
 
Habarini wana jamvi.

Naomba kufahamoshwa mambo muhimu ili kuwa wakala wa GAS (mfano Mihan,Oryx, lake n.k)
Je inalipaje/kamisheni inakuaje
 
Back
Top Bottom