Nataka kuanzisha biashara ya kuuza dawa za kuua magugu (nyasi), naombeni uzoefu

Mayova

Senior Member
May 10, 2018
181
122
Jamani wapendwa nataka kuanzisha biashara ya kuuza dawa za kuua nyasi kama vile round up kalachi nk.

Naombeni mwenye uzoefu anipe faida na hasara za biashara hii.

Asanteni sana
 
1. Unategemea kufanya biashara hiyo sehemu gani?

2. Taja Aina ya wateja unao walenga

3. Una Elimu yoyote kuhusiana na Kilimo hata informal(uzoefu)

NB
Jibu hayo maswali alafu nikupe bonge la idea.
 
1. Sehemu inaitwa MLIMBA -MOROGORO

2.WATEJA NI WAKULIMA. Tunaelekea msimu wa kilimo cha mpunga ambapo watu wengi hupiga kwanza dawa kwenye shamba ya kuua magugu ndo wanapanda mpunga

3. Sina Elimu ya kilimo ila nina uzoefu kidogo kwenye masuala ya kilimo
 
1. Sehemu inaitwa MLIMBA -MOROGORO
2.WATEJA NI WAKULIMA . Tunaelekea msimu wa kilimo cha mpunga ambapo watu wengi hupiga kwanza dawa kwenye shamba ya kuua magugu ndo wanapanda mpunga
3. Sina Elimu ya kilimo ila nina uzoefu kidogo kwenye masuala ya kilimo
Hongera Sana kwa kuwa na uthubutu..
Lakini pia Hongera Sana kwa kuwa na ujasiri na bidii katika kuifanyia uchunguzi biashara yako..

Ushauri wangu!
Unaweza kuwaface wakulima moja kwa moja na kuwatalifu kuwa unauza dawa za majani(magugu)

Likini pia unaweza kuwasiliana na General supplier wa hizo dawa za kilimo na wewe ukawa wakala huko kijijini.

Mbali na hapo! Unaweza kuanzisha Kama Team ya vijana wachache mkaelekezana mkawa kazi yenu Ni kuuza hizo dawa na kumwagilia shambani moja kwa moja.

Mwisho kabisaa!
Wakulima wengi kipindi Cha kilimo huwa hawana pesa hivyo unaweza kuwakopesha wakakulipa kwa mazao....
Alafu na wewe ukauza hayo mazao ili kupata pesa
Au wakakulipa pesa yako wakati wa mavuno..

Huo ni mtazamo wangu! Mana Hilo wazo Ni muhimu kwani magugu hodhohofisha mazao husika, ndio maana Ni kimbilio kwa wakulima wengi.
 
Asante sana blaza
 
Back
Top Bottom