Habari wana JF nataka kufanya biashara ya kuprint t-shirt naanzaje...!!!?
Pia napenda, anaefahamu cost za hizo mashine na za kuanzisha atufahamishe
So nitakupataje mkuu wangu ili unipo ngalau mfunzo kidogo...??
Sure mkuu lazima tutumie pesa kutafuta pesa, Ukipata kitu bure hata thamani ya hicho kitu huwezi ijua. Ujuzi unalipiwa kuna watu wanafuata technology abroad na kwa gharama kubwa.sio mafunzo kidogo, mafunzo ya kila kitu.. andaa laki 5 nikupige full training..
sio lazima uje kwangu.. tafuta mtu yeyote mwenye mashine zote akufundishe...
Sure mkuu lazima tutumie pesa kutafuta pesa, Ukipata kitu bure hata thamani ya hicho kitu huwezi ijua. Ujuzi unalipiwa kuna watu wanafuata technology abroad na kwa gharama kubwa. Kuna mafunzo nilitaka kujifunza abroad bei yake ikabidi nisogeze mbele angalau miezi nane. Pata ujuzi wa thamani kwa mustakabali wa maisha yako.
Kaka nawezaje kupata msaada wako niko MoshiMkuu m nina knowledge ya kutengeneza screen prntng na kuprnt aina tofaut so if u need some knowledge n pm
Mie niko tayarime nimejifunza sisi workshop hyderabad india.. na nililipia rupees 15,000. so why nikufundishe bure bure.. na najua mtu akipata kitu bure bure huwa hawi serious tofaut na akilipia