Nataka kuanzisha biashara ya kuprint calender za 2017 zenye picha ya Lowasa.

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,653
Ndugu zangu naomba mnipe ushauri. Ninataka kuanzisha biashara ya kuprint calender. Hizi calender zitakuwa na picha ya Waziri mstaafu Edward. G. Lowassa.

Mnaonaje. Hii biashara italipa?
Mihemko ya vyama wekeni pembeni. Siasa mpaka 2020.
e4ed2dc4d419af5a1ac2aae1a2a1c178.jpg
 
Weka tingatinga wewe!!!!
 
Maisha yako speed sana siku hizi...calender naziona sana maofisini, majumbani zimepotea kabisa. Sasa unapoweka na picha ya mtu fulani ushawagawa tena hao wachache wanaozitumia.

Trust me hakuna ofisi itakayo-risk kuweka calender hizo labda za chadema.
Mi sio mfanyabiashara wala sina uzoefu ila kukushauri tu kama ni calender za kibiashara jitahidi zisifungamane na upande wowote.
 
Back
Top Bottom