mrlonely98
Member
- Nov 6, 2009
- 94
- 6
Asalaam wanajamii,
Nataka kujua kama nataka kununua shares naanza wapi?
Nataka kujua kama nataka kununua shares naanza wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makampuni ya pombe na sigaraWanajamvi naomba kujuzwa ni kampuni zipi nikinunua hisa zake naweza kuwa na matumaini ya kupata faida baada ya kuanzia miaka kumi hadi kumi na tano bila kuwa na hofu ya kufilisika kwa kampuni husika. Natanguliza shukrani
Kama una ela ya kuchezea nenda.asalaam wana jamii,
nataka kujua kama nataka kununua shares naanza wapi?
Thats bad aisee,fatilia kwa kuwajulisha ndugu zake.Wakienda na death certificates familia yakenitapewa mwongozo pesa mwisho wa siku itapatikana.Mfanyie rafiki yako jambo hilo muhimu,kama huko tunapoenda huwa wanaona atakushukuru sanaHisa ni investment nzuri ila sio kwa sisi wabongo lala ambao hatujui kesho yetu (muda wowote unaweza kufa) ni bora hyo pesa ufanyie issue nyingne.
Nlikua na rafiki yangu alipata kama 30M hv, akanunua hisa kama za 20M then ile 10M akaweka Fixed Deposit for 8yrs, aisee kilichotokea mwaka jana mwishoni jamaa kafa na sijui hatma ya zile pesa zake za bank imekuwaje maana sidhani kama aliacha back up kwa mtu yoyote in case yeye akafa. Mimi nlikua nampinga sana kuhusu hzo mishe ila ndio hvyo.
Ila kwa ushauri mtafute mtaalamu wa hayo mambo akupe ushauri mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahuni awo ni bora ununue government bonds au government treasury Bills kidogo afadhaliCRDB sijui kwa nini hazipandi bei kwa miaka mingi?!
Share 10 ni utopolo tuWalionunua Hisa TPC TBL na TCC miaka 2005 leo hii ni millionaires kama hawakuziuza
View attachment 1890566
Mfano kama hisa moja ilikuwa 700 TZS ukanunua hisa 10,000 kwa wakati huo kwa TZS 7,000,000 kwa bei ya sasa sokoni TZS 5,230/- kwa hisa maana yake kwa miaka 16 TZS million 7 inathamani ya TZS 52,300,000,, Hisa ni long term investiment
View attachment 1890571
View attachment 1890572
View attachment 1890574
View attachment 1890575
View attachment 1890576
Ila kwa wote aliwekeza TCC kipindi cha IPO kama hajauza mzigo atakuwa nao mnene sana leo, 4,100,000/- kwa hisa 10,000/- angeuza kipindi cha peak price leo angekuwa na 182,500,000/-. Kama unafanya ununuzi wa hisa angalia kampuni zenye future na wekeza kwa ajili ya watoto. You will thank me later. Wacha nikanunue hata share 10 sasa hivi #HisaKiganjani
View attachment 1890579
Target yangu ni kuwa na 10,000/- kwa kampuni moja pale DSE mdami ya miaka mitano ijayo.