Nataka kuanza kufuga nywele. Naombeni tips wazoefu kwenye huu utanashati!

mafuta...duke jelly and duke lotion....zikiwa ndefu kidogo anza kutumia parachute au olive oil au castor oil,,kuosha ni mara moja kwa wiki...
alafu unafanya kuzipunguza kila baada ya wiki tatu...
ukiwa na mzura kama sio muajiriwa itakua gud zaid maana zitakua haraka na hazitaungua kwa jua......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom