Nataka kuanza kufuga nywele. Naombeni tips wazoefu kwenye huu utanashati!

Mr.genius

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,369
1,169
Sijawahi kufuga nywele japo kwa muda sasa nlikua natamani ila sasa naona ni wakati muafaka kufanya hivyo.

Ni katika kubadili tu muonekano na kufanya kijana kua smart zaidi siunajua tena.

Sasa before sijachukua maamuzi yoyote nimeleta kwenu mada hii kuomba ushauri kama ilivyo ada kwa wanajamii wa jamiiforums kushauriana naomba mnisaidie techniques, tips, do's and don't do's kwenye huu utanashati mpya naotaka kuuanza.

Mafuta gani mazuri ya nywele kutumia kwa mwanaume, shampoos, natakiwa kuhudhuria mara ngapi saluni kuchonga nywele ziwe fresh na mengineyo karibuni wadau.
 
Tangu zamani nakua nilikuaga sipendi kuchana nywele, ilikua wakat wa kwenda shule chekechea kuchana nywele mpaka nishikwe bila hivyo nakimbia sababu zlikua zinauma wakati wa kuchana waliniambia eti nywele zangu ni kipilipili
Ngoja waje wenye manywele yao mkuu...lakini kabla hujafahamishwa,je unajua aina ya nywele uliyo nayo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kufuga nywele japo kwa muda sasa nlikua natamani ila sasa naona ni wakati muafaka kufanya hivyo.

Ni katika kubadili tu muonekano na kufanya kijana kua smart zaidi siunajua tena.

Sasa before sijachukua maamuzi yoyote nimeleta kwenu mada hii kuomba ushauri kama ilivyo ada kwa wanajamii wa jamiiforums kushauriana naomba mnisaidie techniques, tips, do's and don't do's kwenye huu utanashati mpya naotaka kuuanza.

Mafuta gani mazuri ya nywele kutumia kwa mwanaume, shampoos, natakiwa kuhudhuria mara ngapi saluni kuchonga nywele ziwe fresh na mengineyo karibuni wadau.
Jitahidi uweke ruff dredz. Ukiwa na muonekano huo mkoani kilimanjaro utajiweka katika nafasi nzuri ya kupata watasha
 
Mkuu mie nipo nazo simple kbsaaa!!!

Tafuta shampoo yoyote maana mm sometime hutumia sabuni ya unga nikiishiwa shampoo..kila unapoenda kuoga sugua nywele vizuti na shampoo!

Natumia olive oil,yanauzwa buku 5 chupa ya kijani.

Usiwe unapaka superblack baadae zitakua na rangi nyekundu hivi!!

Chana kwa chanuo ya plastiki kisha tumia mikono kuziweka sawa(sawazisha)

Uwe unaenda saluni kuzisawazisha hii inafanta ziote haraka na zenye afya zaidi!!

Kila la kheri,zingatia USAFI
 
Mkuu ndo mana sijapost uzi huu, kwenye jukwaa la wajasiriamali au kilimo na mifugo. Nmepost kwenye jukwaa hili sababu nadhani unaelewa linahusu nini na kwanini lipo, asante!.
WAKATI wenzio wanafuga KUKU au NG'OMBE wapate MAZIWA,,NYAMA,,NA MAYAI wewe unafuga MANYWELE....yatakusaidia n hayo MKUU?sanasana utabadilishwa Nina na kuitwa MKUU MANYWELE..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha mkuu, umenchekesha sana. Lakini lengo langu si kufuga yale manywele makubwa kivile ila zile za kishakaji tu sema nataka kujua namna ya kuzi maintain!
Mimi nilizoea kufuga nywele ila siku nilivyonyoa ilibidi nifanye kazi ya kuanza kujitambulisha upya maana watu walikuwa hawajui kama ndio Mimi,tangia hapo si shave nywele kipumbavu

Sent by Diaspora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom