Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,369
- 1,169
Sijawahi kufuga nywele japo kwa muda sasa nlikua natamani ila sasa naona ni wakati muafaka kufanya hivyo.
Ni katika kubadili tu muonekano na kufanya kijana kua smart zaidi siunajua tena.
Sasa before sijachukua maamuzi yoyote nimeleta kwenu mada hii kuomba ushauri kama ilivyo ada kwa wanajamii wa jamiiforums kushauriana naomba mnisaidie techniques, tips, do's and don't do's kwenye huu utanashati mpya naotaka kuuanza.
Mafuta gani mazuri ya nywele kutumia kwa mwanaume, shampoos, natakiwa kuhudhuria mara ngapi saluni kuchonga nywele ziwe fresh na mengineyo karibuni wadau.