Nataka kuanza Biashara ya dagaa wa Mwanza, Dar es Salaam

walitola

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
4,718
5,260
Dagaa huku visiwani ukerewe ndoo kubwa ni elf 11, had 12 kwa mwezi huu, maana mi nachukulia huku kupeleka kwenye masoko ya musoma
Mkuu kwa musoma nasikia kuna visiwa vya lukuba napo dagaa linapatikana kwa wingi sana vp ushawai kwenda kufata mzigo uko? Pia umesema mzigo unaleta musoma iyo musoma na uko vijijini au ni mjini kabisa hapa mkuu?
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom